Hapo hakuna Kipya! yote ni yale yale, tulishayasikia yote hayo.
Halafu sijui nia yenu ni nn?
CHADEMA ni imani kama huna imani bye bye.
Bora kuwa na team ndogo yenye nidhamu kuliko kuwa na team kubwa mzigo.
hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono.
Jamaaa anakimbilia mgawo wa Escrow kabla haujaisha. Njaa mbaya sana, kama mtu ni mpinzani wa kweli hawezi rudi CCM kwa uhalifu na uporaji wanaoufanya kwa Watanzania. Hapa haitaji degree kujua huyu jamaa alikuwa mganga njaa. Sasa anatoa porojo zilezile zilizozoeleka.
invisible wa nini sasa
Hahaaaa
#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.
Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??
Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
Soma contents ktk picha hizo.
Chadema ilishalaaniwa
Chadema mburula kweli ujue hayajitambui kabisa sijui nani kayaroga kwenye hii dunia.#Invisible ,jibu au toa hoja kuwa,threads hizo ni zauongo na kwa sababu zipi.
Usiwatetee wezi wa chadema.Nahapo hawajakabidhiwa Dola sasa ndo maana wanavurugana kwa tu'senti hutwo. wakipewa dola cndoitakuwa mshikemshike??
Bado upinzani unakazi na miaka mingi kuaminika kwa Watanzania.
Kweli mkuu amejitambua vilivyo kwa kuamua kujitoa ufahamu na kuwa miongoni mwa walamba viatu vya mafisadi View attachment 194297View attachment 194298