Yawezekana kweli unaionea huruma cdm lakini kwanini usiwaonee huruma wanarufiji maana ni miaka 50 sasa bado wametopea kwenye umaskini wa kutisha.. hata hivyo mbinu mahususi ya utawala huu uliopo madarakani ni kuongeza umaskini vijijini na elimu duni ili kuweza kuendelea kutawala.. mbinu ambayo imefeli pande zingine za nchi yetu na ndio maana sasa wanawatisha hao walio maskini na elimu duni kwamba cdm ni chama cha kikanda nk.VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.
VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
vijiji ; ccm - vijiji 11, cuf -vijiji 3, chadema -0.
Vitongoji; ccm- vitongoji 27, cuf - 6 na chadema- 0
rip chadema, mkapumzike kwa amani! Poor you!
hizo ni salamu kwa ajili ya 2015 tutakapo wachinja chinja kwa land slide victory , cdm sio chama ni wanaharakati wahuni walio jikusanya pamoja kwa kuwahadaa wananchi
chadema kama hawatajitathmini na udini wao waliojuza kichwani kuona waislam sio kitu chochote sio lolote, wasitegemee kitu
chadema kama hawatajitathmini na udini wao waliojuza kichwani kuona waislam sio kitu chochote sio lolote, wasitegemee kitu
kweli. Wenye aelimu ya biblia ndio mtaji wa chadema. Chadema+kanisa = ubaguzi +vita tanzania
Ndugu katika Bwana nakuunga mkono kabisa hawa Chadema ni genge flani la wahuni watakao kupandikiza chuki miongoni mwa jamii ili baadae yatokee machafuko yatupasa kukemea sana hizi nyoyo zao katili WASHINDWE NA WALEGEE KATIKA JINA LA YESU ALIYE HAI
Kaka huko si kwa wale ma yakhe ambao elimu yao ni duni (0%), kila kitu huambiwa na kukubali. Haitupi shida CDM kwani ipo siku watakuja kugundua kuwa walikuwa wajinga.VIJIJI ; CCM - vijiji 11, CUF -vijiji 3, Chadema -0.
VITONGOJI; CCM- Vitongoji 27, CUF - 6 na CHADEMA- 0
RIP CHADEMA, MKAPUMZIKE KWA AMANI! Poor you!
Hizo ni salamu kwa ajili ya 2015 tutakapo wachinja chinja kwa Land slide victory , CDM sio chama ni wanaharakati wahuni walio jikusanya pamoja kwa kuwahadaa wananchi
Hamaanishi kura sifuri bali vijiji sifuri na vitongoji sifuri! RIP CHADEMA
Hivi Rufiji nayo unaweza kuihesabu kama ni sehemu wanayoishi binadamu wenye akili timamu! Mwenye elimu kubwa ni Madras Juzuu 7.