ABiClever Junior
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 948
- 548
mkuu husika na maelezo no reply HahahahahaWe si ndio unahitaji BAN.
Mie nmeshindwa kumuelewa .We si ndio unahitaji BAN.
utavunja mbavu wew alaf hela ya kupelekwa hospital ya nje ya nchi hakunaHahahaha
mpaka ban ikinifikia utafiti utakuwa ushakamilika maana mpaka sasa naona Ccm inakimbizaMie nmeshindwa kumuelewa .
Sasa unaendeleaje na wakati Huo utakuwa ushalambwa ban?? Uzi utabaki yatima huu
Wewe mtu wa pangani umenichekesha sana! Alafu kucheka ni afya....mastress ndiyo yanayopeleka watu ma hospital!utavunja mbavu wew alaf hela ya kupelekwa hospital ya nje ya nchi hakuna
tayari hata mimi nina shauku juu ya hiloUngeandika utafiti wa members wa JF.
Hahahaha Njoo Pangani Tugawane hizo Pesa nyingiWewe mtu wa pangani umenichekesha sana! Alafu kucheka ni afya....mastress ndiyo yanayopeleka watu ma hospital!
Anyway Pesa ninazo nyingi sana sana, lakini sio za kuwapa ma doctors, lawyers au police! Maulana Mola wangu aniepushe na hao watu milele yote!
tayari hata mimi nina shauku juu ya hilo
Tittle aibadilishiki ,kiufupi ni watu wanyonge hao wanaoficha id zaoPoa poa nimevoti, naona nawe umevoti...
Unajua utafiti wa humu ni wa humu... na wengi waongo kulinda ID zao mazoea ha ha haaaaaa. Kwa nyuma ya pazia wengi wanaipenda mfano CCM tena kwa sasa kwa sababu ya Mh. Magufuli eeeh
Kwasababu kwa nchi yetu tuna wananchi wengi zaidi hawatumii mitandao nao kuna njia nyingine nzuri tu za kujua na kuwavutia
Tittle aibadilishiki ,kiufupi ni watu wanyonge
Hivi uko Tz ? maana isije ikawa uko ulipo ni mchana ama unakesha kama mimiNajua hilo, hadi uwaombe.
Potezea tu haina ulazima kubadili..watakuelewa wapenda kuelewa.
Nilisha kaa Pangani kwa kina Mwapachus...sasa nimerudi DAR ES SALAAM to my beautiful and wonderful city! I REALLY LOVE DSM!Hahahaha Njoo Pangani Tugawane hizo Pesa nyingi
eeeh beautyful city aiwez kuwa dar es salam Dodoma ndio beautful ndio mana serikal ya hamia ukoNilisha kaa Pangani kwa kina Mwapachus...sasa nimerudi DAR ES SALAAM to my beautiful and wonderful city! I REALLY LOVE DSM!
siwajui hao twaweza mim nimetumwa na Extra work of mind.Twaweza wamekutuma ee