CHADEMA vs CCM: Nani Mbabaishaji?

Ushahidi wa hao wengi? Hakuna aliyemtoa kafara Chambiri. Na haya tunayoyatoa hapa ni maoni yetu binafsi mimi na wewe. Yanaishusha vipi JF?
MK, una undugu wowote na akina Chambiri?
 
Ushahidi wa hao wengi? Hakuna aliyemtoa kafara Chambiri. Na haya tunayoyatoa hapa ni maoni yetu binafsi mimi na wewe. Yanaishusha vipi JF?
MK, una undugu wowote na akina Chambiri?

Anayeleta udaku na uzushi hapa kuwa Chambiri aliihujumu CCM Tarime kwa kutoa pesa kwa wananchi wa Tarime na CHADEMA ili CCM ishindwe kwenye jimbo la Tarime anajaribu kumtoa Chambiri kafara kwa yaliyoipata CCM Tarime.

Habari za udaku na uzushi kama unazojaribu kuziweka hapa huku ukiziita facts zimezoeleka kwenye magazeti ya udaku ya shigongo na wenzake. Ukiziendeleza hapa basi nia yako inaweza kuhesabika kama ya kutaka kuipeleka JF kuwa kama moja ya magazeti ya Shigongo.

No, sina undugu wowote na kina Chambiri ila nimecheza makopolo na michezo mingine yote ya kitoto na watoto wa Kisyeri na Mwita.
 
CCM hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…