CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

Status
Not open for further replies.
hivi chadema ina sera gani inayotekelezwa na ccm. hata km ukiona sera ccm inatekeleza inayofanana na ya cdm ujue zimeshabiriana, isitoshe asilimia kubwa ya sera za chadema wamekopy na kupest tu from ccm
Kwa hiyo Kuunda Katiba mpya ilikuwa ni sera ya CCM, halafu wakaichukua CHADEMA? wakati fulani pale penye ukweli ni bora tu tukakubaliana.
 
Asante Bethlehem. Some voluntary ignorant watakuja kujaza server sasa hivi.
mkuu sio voluntary ignorant.Ni wafanyakazi wakulipwa na wanalipwa kwa idadi ya post bila kujali content.Nimegundua sasa hivi magamba wame buni mkakati wa kuzivuruga nyuzi zote zenye mantiki humu JF, either kwa ku post ujinga,matusi, au kupindisha mada ya msingi na wanahakikisha wanaweka comment nyingi iwezekanavyo huku kila moja ikiwa walau na mistari miwili.Lengo ni kuvuruga mijadala yote yenye mantiki na kuwafanya watu waanze kujadili mipasho badala la hoja na kisha kusababisha eidha uzi kufungiwa, au watu makini kukata tamaa ya kuendelea kuufuatilia.

Wameamua kufanya hivi baada ya kuona kwamba kwenye kila mjadala makini wao wanakosa hoja za msingi za kuchangia.Pia hii kwa kiwango kikubwa husababishwa na uvivu wa kufikiri
 
Unajua dawa ya watu kama wanaojiita MfuasiwaKambarage ni kuwaacha waendelee kubwabwaja hakuna haja ya kuwajibu. Hutabishanaje na Mpumbavu!!!
 
njia panda sera ya elimu bure ya msingi mpaka sekondari ambayo c.c.m walipinga mbona sasa c.c.m imeichukua? fuatilia mambo. c.c.m hawana sera zaidi ya kucopy na kupest. kama ndesamburo ameiba mtaje na ameiba shilingi ngapi na zipo account gani ili zifuatiliwe. serikali ya tanzania inajua walio na hela nje wote. ndesamburo hela zingekuwa nje angekamatwa muda mrefu
 
chadema .....kutishia vikongwe na walemavu kwa bastola
ccm ......kukemea wanaotishia vikongwe na walemavu kwa bastola
chadema kuwalazimisha polisi kumuuwa Mwangosi, chadema kulizimishwa na ccm kufichua fedha zilizofichwa uswis,chadema kuchukua fedha za EPA,chadema kulimbikiza madeni ya waalimu,chadema kula fedha za waastahafu wa EAC,chadema kusafirisha twiga nje ya nchi ma mengine mengi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom