CHADEMA Vs CCM; Comparative Analysis!

Status
Not open for further replies.


Mimi nashangaa sana watu wanaoitetea CCM!!! wanashindwa kuja na hoja zenye nguvu za kushinda na badala yake wanaungana na CHADEMA kurushiana matusi na kuondoka kwenye hoja zenye tija!! Naamini Wana CCM wana mambo mazuri na mengi ya kuwashinda CHADEMA katika uzi huu kwa hoja!!

CCM ni chama kikongwe kimekomaa; CHADEMA ni chama kichanga kinachojaribu
CCM ni chama kilichojaribiwa na kuyaona menngi; CHADEMA hakina uzoefu wowote
CCM ni chama kilicholeta uhuru; CHADEMA ni chama kilicho leta siasa za maandamano na nguvu ya Umma
CCM ni chama kilicholeta siasa za shari; CHADEMA ni chama kilicholeta za uhasama
CCM ni chama kilichojenga umoja wa Watanzania; CHADEMA ni chama kilicholeta mgawanyiko wa Wabunge wa wapinzani
CCM kinaongoza serikali yenye kuheshimika kimataifa; CHADEMA kinaongoza upinzani Bungeni usioheshimika kwa wapinzani wenzao bungeni.
CCM kina miradi ya Kiuchumi; CHADEMA kinamtegemea Sabodo na Wadhamini wao tu
CCM chini ya Nyerere ilionyesha kuwa inaweza; CHADEMA chini ya Mtei ilikuwa inapumlia Mashine
CCM imeisha fanya mengi (Mabaya na Mazuri); CHADEMA haina mengi iliyokwisha fanya

Kama na mimi ningekuwa kwenye kundi la mikakati ya kujenga sura ya CCM, hapa (uzi huu) pangelikuwa ni sehemu nzuri ya kuwasambaratisha CHADOMO (lisemwalo) bila ya matatizo!!! jifunzeni jamani kuwa na hoja za kuvisaidia vyama vyenu!!!!!
 

Pana kama zipi?

Referring to which? Ulikuwa na nafasi ya kupinga lakini hujafanya hivyo, badla yake umeishia kulalamika na ku attack tu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…