Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,196
- 7,532
WAPENZI WA CHAMA[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wapenzi wengi wa chama ni wananchi wa kawaida na masikini sana wanaotaka maisha yenye nafuu kidogo
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wapenzi wake wengi ni watu walioko kwenye system wanaopambana kuzilinda nafasi zao kwa njia yeyote ile.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
ULINZI
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Chama na viongozi hulindwa na vijana dhoofu ili hali (wasiio na silaha yoyote) ila wenye za kichwani .Huifanya kazi hii kwa kushirikiana na wananchi wakawada.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Hulindwa na vyombo rasmi ikiwemo vyombo vya usalama vya serikali vyenye nyenzo za kisasa.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuchanganika na wananchi wa kawaida hata kama ni kwenye dala dala.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuishi maisha ya juu na yakutukuzwa zaidi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Niwanyenyekevu Sana kwa wananchi
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wakati Fulani huwatisha wananchi hasa wanaofikiri kinyume na wao.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi huhudhuria mikutano kwa baahati nasibu tuu baada ya kutangaziwa.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wahudhuriaji hukusanywa na kupelekwa kwa mabasi kwenye mkutano na kisha kupatiwa posho ya kujikimu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi ndio huwachangia wagombea ili waweze kufanya kampeni.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wagombea ndio huwapa wananchi kitu kidogo ili waweze kuwachagua.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Hueleza jinsi Serikali inayoongozwa na CCM, ilivyoshindwa kutekeleza majukumu yake.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Huilamu CHADEMA kwa kurudisha nyuma maendeleo ya nchi (japo wao ni wapinzani tu).
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni Chama cha upinzani (ambacho sera zake haziwajibiki kutekelezwa)japo kwa kiwango kikubwa ndizo zinazotekelezwa.Mf; Mchakato wa katiba mpya
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Ni Chama tawala (ambacho sera zake ndizo zinatakiwa zitekelezwe) ila wanapobanwa wanatekeleza za CHADEMA kwa kuwa hoja za CHADEMA zinakuwa nzito mno.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuhoji mambo hata kama jambo linaonekana kuwa dogo.
[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wana gonga meza hata msemaji anapotaja wilaya za Tanzania (mradi tu msemaji awe CCM).
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wote Wako makini wakati wote.
[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wengine wanasinzia, wanaongea, wanachat isipokuwa wachache tu ndio wanakuwa makini wakati wote.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: MsoTableGrid"]
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni wawazi sana na inapotokea jambo lenye utata kidogo tu wanakuja JF, au kuita vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi.
[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Ni wagumu wakutolea mambo ufafanuzi hadi waone hakuna tena ujanja .Wakati Fulani hata wakialikwa kwenye midahalo hawahudhurii.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa ujumla mpaka sasa ndivyo hali ilivyo kwa jinsi mimi nilivyojaribu kufuatilia.Hiiinaweza kukusolewa kama kuna mahali kuna makosa.

VIONGOZI WAKE
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuchanganika na wananchi wa kawaida hata kama ni kwenye dala dala.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuishi maisha ya juu na yakutukuzwa zaidi.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Niwanyenyekevu Sana kwa wananchi
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wakati Fulani huwatisha wananchi hasa wanaofikiri kinyume na wao.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KAMPENI
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi huhudhuria mikutano kwa baahati nasibu tuu baada ya kutangaziwa.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wahudhuriaji hukusanywa na kupelekwa kwa mabasi kwenye mkutano na kisha kupatiwa posho ya kujikimu.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wananchi ndio huwachangia wagombea ili waweze kufanya kampeni.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Wagombea ndio huwapa wananchi kitu kidogo ili waweze kuwachagua.
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Hueleza jinsi Serikali inayoongozwa na CCM, ilivyoshindwa kutekeleza majukumu yake.
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Huilamu CHADEMA kwa kurudisha nyuma maendeleo ya nchi (japo wao ni wapinzani tu).
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
KATIKA KUONGOZA SERIKALI
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni Chama cha upinzani (ambacho sera zake haziwajibiki kutekelezwa)japo kwa kiwango kikubwa ndizo zinazotekelezwa.Mf; Mchakato wa katiba mpya
[/TD]
[TD="width: 268, bgcolor: transparent"]Ni Chama tawala (ambacho sera zake ndizo zinatakiwa zitekelezwe) ila wanapobanwa wanatekeleza za CHADEMA kwa kuwa hoja za CHADEMA zinakuwa nzito mno.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
BUNGENI
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wanapenda kuhoji mambo hata kama jambo linaonekana kuwa dogo.
[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wana gonga meza hata msemaji anapotaja wilaya za Tanzania (mradi tu msemaji awe CCM).
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Wote Wako makini wakati wote.
[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Wengine wanasinzia, wanaongea, wanachat isipokuwa wachache tu ndio wanakuwa makini wakati wote.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
UWAZI
[TR]
[TD]CHADEMA
[/TD]
[TD]CCM
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="width: 266, bgcolor: transparent"]Ni wawazi sana na inapotokea jambo lenye utata kidogo tu wanakuja JF, au kuita vyombo vya habari kwa ajili ya ufafanuzi.
[/TD]
[TD="width: 262, bgcolor: transparent"]Ni wagumu wakutolea mambo ufafanuzi hadi waone hakuna tena ujanja .Wakati Fulani hata wakialikwa kwenye midahalo hawahudhurii.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa ujumla mpaka sasa ndivyo hali ilivyo kwa jinsi mimi nilivyojaribu kufuatilia.Hiiinaweza kukusolewa kama kuna mahali kuna makosa.
kalikumtima jackson
- Mimi nashangaa sana watu wanaoitetea CCM!!! wanashindwa kuja na hoja zenye nguvu za kushinda na badala yake wanaungana na CHADEMA kurushiana matusi na kuondoka kwenye hoja zenye tija!! Naamini Wana CCM wana mambo mazuri na mengi ya kuwashinda CHADEMA katika uzi huu kwa hoja!!
CCM ni chama kikongwe kimekomaa; CHADEMA ni chama kichanga kinachojaribu
CCM ni chama kilichojaribiwa na kuyaona menngi; CHADEMA hakina uzoefu wowote
CCM ni chama kilicholeta uhuru; CHADEMA ni chama kilicho leta siasa za maandamano na nguvu ya Umma
CCM ni chama kilicholeta siasa za shari; CHADEMA ni chama kilicholeta za uhasama
CCM ni chama kilichojenga umoja wa Watanzania; CHADEMA ni chama kilicholeta mgawanyiko wa Wabunge wa wapinzani
CCM kinaongoza serikali yenye kuheshimika kimataifa; CHADEMA kinaongoza upinzani Bungeni usioheshimika kwa wapinzani wenzao bungeni.
CCM kina miradi ya Kiuchumi; CHADEMA kinamtegemea Sabodo na Wadhamini wao tu
CCM chini ya Nyerere ilionyesha kuwa inaweza; CHADEMA chini ya Mtei ilikuwa inapumlia Mashine
CCM imeisha fanya mengi (Mabaya na Mazuri); CHADEMA haina mengi iliyokwisha fanya
Kama na mimi ningekuwa kwenye kundi la mikakati ya kujenga sura ya CCM, hapa (uzi huu) pangelikuwa ni sehemu nzuri ya kuwasambaratisha CHADEMA (lisemwalo) bila ya matatizo!!! jifunzeni jamani kuwa na hoja za kuvisaidia vyama vyenu!!!!!