assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
- #21
ACT oyeee CHAGADEMA Ziiiiiiiiiii
oyeeeeeeeeeeee
ACT oyeee CHAGADEMA Ziiiiiiiiiii
Unashindanisha Tembo na sisimizi!!
Naona CCM ndo inazikwa,maana vyama vyenye ushindani mkubwa sasa ni CDM na ACT ,Ila CCM ndio inajifia taratibu kwishney kabisa.chadema wanawakati mgumu sana kwan ACT TANZANIA imekua kitisho kwa kuchukua viongozi wake wengi sn. mikoa na wilaya viongozi wengi wamwswitch side.je wewe waonaje madiwan na wabunge 2014/15 ?
Wabunge wengi wa chadema hawarudi 2015, labda wahamie vyama vingine warudi kupitia vyama hivyo
ACT ni toilet paper kwenye vyoo vya CDM
ACT imewaacha mbali sana Chadema..
ACT imewaacha mbali sana Chadema..
Inawezekanaje alliance for...and traitors ikawa juu ya CDM iliyojengwa kwa miaka mingi,
ACT ni mbadala wa CCM na CDM.
chagadema sasa kam simba wa karatasi