chadema wanawakati mgumu sana kwan ACT TANZANIA imekua kitisho kwa kuchukua viongozi wake wengi sn. mikoa na wilaya viongozi wengi wamwswitch side.
je wewe waonaje madiwan na wabunge 2014/15 ?
Act ni chama cha kupotezea muda
Act kinaendeshwa kama takataka
Act ni upuuzi
ACT ni toilet paper kwenye vyoo vya CDM