Ni imani yangu kabisa ya kisiasa, hususan hii tuliyonayo sasa ya vyama vingi, ni kuwa vyama vya upinzani ni chachu ya maendeleo kwa Taifa, upinzani ni wasimamizi wakuu wa madudu yoyote yataefanywa na yeyote awepo katika uongozi wa Serikali. Kwa kuwa CHADEMA kwa kipindi hiki ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania
Naomba maoni ya wana chadema vipi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uboreshwe?
Tuuvuje ndio njia pekee ya kuboresha muungano.
Nikuffanulie labda hujanifahamu muungano wa undugu wa watu kama ilivyo wakenya na warundi au majirani wengine
utabakia lakini huu wa kiserekali mwisho wake umefika.
Wazanzibari hawako tena kwenye hoja za serekali tatu wala kumi hizo zilikua enzi za cuf, lakini sasa enzi za uamsho hautakiwi tena.
watanganyika musihribu pesa zenu kufanya katiba mpya kwa upande wa zanzibar kwa niijuavyo zanzibar ya sasa muungano kukatika nilazima siku tu haijajuilikana.
zomba, Mkuu wangu nitazungumza kama Mkandara na mwanachama kipenzi wa chama cha Upinzani japokuwa mawazo yangu sii lazima yachukuliwe na uongozi wa Chadema.Ni imani yangu kabisa ya kisiasa, hususan hii tuliyonayo sasa ya vyama vingi, ni kuwa vyama vya upinzani ni chachu ya maendeleo kwa Taifa, upinzani ni wasimamizi wakuu wa madudu yoyote yataefanywa na yeyote awepo katika uongozi wa Serikali. Kwa kuwa CHADEMA kwa kipindi hiki ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania
Naomba maoni ya wana chadema vipi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uboreshwe?
Japo mimi sio Chadema, msimamo wao ulikuwa ni kuwepo serikali 3.
Thubutu!!!!..Mkandara usishangae ukiitwa kafiri sasa hivi..
Ni imani yangu kabisa ya kisiasa, hususan hii tuliyonayo sasa ya vyama vingi, ni kuwa vyama vya upinzani ni chachu ya maendeleo kwa Taifa, upinzani ni wasimamizi wakuu wa madudu yoyote yataefanywa na yeyote awepo katika uongozi wa Serikali. Kwa kuwa CHADEMA kwa kipindi hiki ni chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania
Naomba maoni ya wana chadema vipi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uboreshwe?
Unawauliza watu wa KANISANI?? hawawataki waislamuuu, aibu tupuuuu........
kutana na Dr.Slaa, umuulize, sijuwi wamewakosea nn"""???