Mtambuzi
Platinum Member
- Oct 29, 2008
- 8,809
- 15,438
Niko Mwanza, na nimezunguka mitaa yote ya jiji hili lanye mandhari nzuri ya kuvutia lakini sijabahatika kuona Bendera ya CHADEMA kote nilikopita, kulikoni...? Au ile OPERATION SANGARA na M4C hazijafanya kazi...?
Nijuavyo mimi, hili ni eneo ambalo lina ushawishi mkubwa kisiasa huku Kanda ya Ziwa, katika kipindi hiki cha miaka miwili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu, ingekuwa ni vyema kwa CHADEMA kuelekeza nguvu zake huku baada ya kuwa tayari imeshakamata kanda ya Kaskazini.
Copy to: Mwita Maranya