YAGHAMBA
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 545
- 147
anataka mumwambie ziko wapi atume vijana wakazing.oe
pokea like mkuu
anataka mumwambie ziko wapi atume vijana wakazing.oe
tNiko Mwanza, na nimezunguka mitaa yote ya jiji hili lanye mandhari nzuri ya kuvutia lakini sijabahatika kuona Bendera ya CHADEMA kote nilikopita, kulikoni...? Au ile OPERATION SANGARA na M4C hazijafanya kazi...?
Nijuavyo mimi, hili ni eneo ambalo lina ushawishi mkubwa kisiasa huku Kanda ya Ziwa, katika kipindi hiki cha miaka miwili kilichobaki kuelekea uchaguzi mkuu, ingekuwa ni vyema kwa CHADEMA kuelekeza nguvu zake huku baada ya kuwa tayari imeshakamata kanda ya Kaskazini.
Copy to: Mwita Maranya
mwanza hatuweki bendera ....sisi ni watu wa action hata magamba wanajua hilo.......na ukitaka kujua chadema ipo mwanza itisha mkutano hata wa kata ila bendera zipo nyingi mbona
Aisee mpe aelewe, asidhani kwa Kuwa bendera hakuna na Chadema hakun,hebu karibu kupinga Makoroboi na bendera yako ya Ccm uonyeshwe kazi,Ndiyo utaijua Mwanza ukoje. Umetumwa na ANNA Spika nn?
Sio kweli mkuu,
Pale Stand ya Tanganyika kuna bendera imejengewa mwanzoni kabisa wakati unaingia katika kituo kile cha mabasi cha zamani!
Mabatini stand, kuna bendera katika makutano ya barabara ya nyerere na ile inayoenda kileruu! Moja imechomelewa kwenye kibao cha matangazo, nyngine imetundikwa kwenye cable!
Unapopita mabatini stand kuna nyingine karibu na daraja pale!!
Wengine wataongeza wanazozijua..
...hauna haja ya kuzunguka jiji looote,ukitaka kujua nguvu ya CDM Mwz,watafute Masha na Dialo uwaulize nguvu ya Chadema Mwanza ikoje watakupa jibu mujarabu...
Acha kukurupuka umelewa nini au wewe ni mwehu.Pita msoma road anzia igoma mpaka hapa nata utaona flag za cdm kibao then rod to shinyanga mpaka usagara buhongwa nyegezi mkolani mkuyuni utaziona.Kama utakua na nauli ya kutosha makongoro road to airport anzia kirumba yote mwaloni kitangiri then gana nyamanoru pasiansi iliganzala sa7 ilemela utakutana nazo kibao hapo hujaenda khewa na kwingineko ndan ya jiji. Omba wenyeji wakutembeze.
Zipo, ila CHADEMA c chama cha bendera bali ni chama kilichomea na kunawiri kwenye mioyo y watanzania wapenda maendeleo.
Naam, bendera zipo mkuu. Katikati ya jiji sio rahisi kuziona, nenda pembezoni kuleee Nyegezi kona, malimbe, Mkuyuni sokoni, Buhongwa, Nyakato zote, uswazi Mabatini, Kilimahewa, Kona ya Bwiru jirani ya kijiwe cha bodaboda, mlango mmoja etc
Tupo wenye jiji omba MUONGOZO.
katikati ya stand ya tanganyika kuna tawi la chadema,ukishuka hapo stand ya tax kuna bendera mbili juu ya bango kubwa,ukishuka makoroboi ndio usiseme.una makengeza au upo mwanza ipi wewe?