Nukuu "penda kazi usipende ofisi". Ukiamua kuwa mwanasiasa na ukafahamu majukumu yako kwa jamii basi hautababaishwa na madhira utakayokutana nayo wakati wa safari. Hakuna kitu rahisi hapa duniani hata usingizi kuupata lazima uupambanie. Huwezi kuchagua kuwatumikia watu ukaweka maslai yako...