CHADEMA V/S ze COMEDY nani ZAIDI?

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zabguni
Leo nimetumia muda mwingi sana kujiuliza na bora zaidi kwa vituko kati ya chadem na ze comedi

Kwa kifupi nikwamba Chadema walishinda , na sababu ya ushindi wao ni kuwa wao wako real sio waigizaji hivyo basi , mtu akipigwa tofa lazima atoke damu, sio kupaka chilisosi kutuzuga

Ze comedi wao wana act tu hivyo ni rahisi kuchuja

NANI MWINGINE ATATIMULIWA?

JITAMBUE !
 

-RAMBIRAMBI kwanza, majitaka tutayatafutia muda wake!
 

"Sisi Sote ni Ndugu Tatizo letu ni CCM" by Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:

wewe hujisomi kabisa.... Wakuoime
 
Hakuna ze comedy kama ccm..wananunua rada mbovu, wanaua tembo wetu,wanabaka watoto,wanolewa na watoto..
 

Hivi Chris Lukosi ile helkopta LEMA aliyopiga nayo picha ishaondoka huko UK? au ndio iko majini? maana ni kitambo sasa.
 
Hovyoooo!
 

magamba oyeeeeeeeeeeee
 

Really?? You have gone this low?? Kwa wasiokuwa na vyama tungetegemea ushawishi wa mambo ya maana. Ni aibu kuandika vitu vidogo vidogo kama hivi usiku wa manane!! Sita kwanza na kujiuliza kama unaifanya CCM au hata wewe mweyewe bora kwa kuandika tuvitu twa namna hii, kabla hujapost.

There are bigger issues facing the nation than just Chadema and Ze Comedy. Stand out from the crowd, mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…