CHADEMA under UKAWA Dodoma.

CHADEMA under UKAWA Dodoma.

MZABIBUASILI

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
287
Reaction score
38
Jana chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Tulifanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya barafu hapa mjini dodoma. Kiukweli watu walijitokeza kwa wingi sana na mwishoni tuligawa kadi na ziligombaniwa kama mwana mwali. IMG_20141102_173920.jpg IMG_20141102_173927.jpg IMG_20141102_173920.jpg IMG_20141102_172141.jpg IMG_20141102_173751.jpg
WANANCHI WAKIWA WANAMSIKILIZA KAMANDA KIGAILA. STAY CONNECTED MAANA MOTO WAKE NI WAKUOTEA MBAAAAAALI. IMG_20141102_173729.jpg
 
Vipi safari híi mkuu wa mkoa hakupokea order ya kupiga marufuku mikutano hiyo?? Hongereni, lakini jitaidini kuingia dodoma vijijini, maana ccm imetaga kwelikweli hapo idodomya!
 
Viwanja vya barafu ni stand ya magari ya mizigo, hivyo hao watu wengi hapo ni kama wako kazini....

Dodoma ni Makao makuu ya ccm mtasubiri sana.
 
Viwanja vya barafu ni stand ya magari ya mizigo, hivyo hao watu wengi hapo ni kama wako kazini....

Dodoma ni Makao makuu ya ccm mtasubiri sana.

Mhh! mkuu mbona wote wanasikiliza kwa makini si wengeendelea na kazi zao? tujenge utamaduni wa kukubali penye ukweli huo ndio uanazuoni bobevu sio kupinga hata kinachoonekana kwa macho:lie:
 
Kiukweli hakuzuia .polisi walikuwepo kuulinda mkutano. Kamanda mwakibinga alifanya mkutano huko vijijini.
 
Pole sana tutasubiri ee subiri mwendo wake mwenyewe utakubali. Kuna msemo husema heli kulambilizia kuliko kula kavu. Kikwetu tunasemaga kiba ukunavilidza kuliko ukulumanga
 
Dodoma lazima msubili sana siyo watu wa hivyo kama mnavyodhani.
 
Dodoma ni Makao makuu ya CCM!!! Tutawafundisha kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
 
Kama ni stendi ina watu,si na nyie mfanye tuone kama mtawapata
 
Viwanja vya barafu ni stand ya magari ya mizigo, hivyo hao watu wengi hapo ni kama wako kazini....

Dodoma ni Makao makuu ya ccm mtasubiri sana.

hata viongozi wako wanaishi jimbo la kawe chini ya chadema
 
Viwanja vya barafu ni stand ya magari ya mizigo, hivyo hao watu wengi hapo ni kama wako kazini....

Dodoma ni Makao makuu ya ccm mtasubiri sana.

Mimi nilikuwepo sibebi mizigo wala sina gari pale.
 
Back
Top Bottom