Kuna vitu nimefikiria nikagundua kwamba kweli CCM kupitia Rais Magufuli ni wajanja sana, wamewaweka wapinzani bize na maswala ya kimahakama na kisheria au wamewapigia gitaa la nyimbo flani hivi amazing na wao wote sasa wanacheza huo mziki mchafu, yeye magufuli akisimama jukwaani anahesabu siku ngapi zimebaki kumaliza miaka mitano na tathimi yake ya maendeleo ya nchi, wakati wapinzani wako bize na maandamano na kesi, sisi wananchi tulio wengi hatujui hata demokrasia ni nini, tunahitaji maji, dawa hospitalini barabara elimu bora nk.... Hii ndiyo demokrasia yetu ya kweli, tundu lisu kushinda kesi mimi sio Ishu Ishu yangu ni huyo tundu lisu kutufanyia makeke alete maji nk..
Hayo ni maoni yangu tu binafsi.