Tangu kaingia madarakani umevipata au unaona dalili ya kuvipata? Hapa anaecheza ngoma ya mwenzake nani? Mwisho wa utawala chadema hawataulizwa viwanda wala hospitali wala maji! Kwanini watu kama nyie mnapata nafasi hapa? Inabidi ninyamaze naona ban inaninyemeleaKuna vitu nimefikiria nikagundua kwamba kweli CCM kupitia Rais Magufuli ni wajanja sana, wamewaweka wapinzani bize na maswala ya kimahakama na kisheria au wamewapigia gitaa la nyimbo flani hivi amazing na wao wote sasa wanacheza huo mziki mchafu, yeye magufuli akisimama jukwaani anahesabu siku ngapi zimebaki kumaliza miaka mitano na tathimi yake ya maendeleo ya nchi, wakati wapinzani wako bize na maandamano na kesi, sisi wananchi tulio wengi hatujui hata demokrasia ni nini, tunahitaji maji, dawa hospitalini barabara elimu bora nk.... Hii ndiyo demokrasia yetu ya kweli, tundu lisu kushinda kesi mimi sio Ishu Ishu yangu ni huyo tundu lisu kutufanyia makeke alete maji nk..
Hayo ni maoni yangu tu binafsi.
That is how CDM is made... dictatorial regime mpaka kwa makada wa nyuma ya kicharazo..Tangu kaingia madarakani umevipata au unaona dalili ya kuvipata? Hapa anaecheza ngoma ya mwenzake nani? Mwisho wa utawala chadema hawataulizwa viwanda wala hospitali wala maji! Kwanini watu kama nyie mnapata nafasi hapa? Inabidi ninyamaze naona ban inaninyemelea
Yep yep.. umaarufu wa kushika ukuta ni very overwhelming, maana kila mtu anashangaa inakuaje watu na akili zao wanashikishwa ukuta kwa kutumia akili za mwenyekiti..Hivi hujui kuwa chadema na Ukuta vimepata umaarufu kwa siku hizi za karibu, mpaka yule uchwara hata hasikiki yuko wapi
Hakuna anaetaka hata kumsikia abaki kimya mpaka 2020Hivi hujui kuwa chadema na Ukuta vimepata umaarufu kwa siku hizi za karibu, mpaka yule uchwara hata hasikiki yuko wapi
That is how CDM is made... dictatorial regime mpaka kwa makada wa nyuma ya kicharazo..
Unataka kuleta umangi meza mpaka JF...
Kweli CDM hamnazo..
Yaani siku TL akinyanyua mdomo tu kuhusu mwenyekiti...Teh teh. Kwa posti hiyo hapo Lissu angeanza kumwita Mbowe.. mwenyekiti di k te ta uchw ara. Saa hizi angekuwa mwanachama ACT, CCM au.angekua kaungana na Dr Slaa mafichoni. Hahaa chezea Mbowe wewe, waulize Zitto na Kitila wakupe ushahidi.
Umeandika nini sasa? Ndio maana kuna watu wanasema mnajitoa akili! Ni ukuta upi unaoshikwa? Kwa uhakika "sio kila mtu" anashangaa UKUTA bali wengi ambao hawajajitoa akili kama wewe wanashangaa katiba "kusiginwa" kwa kuzuiwa mikutano ya kisiasakwa vyama vingine, lakini "ikaruhusiwa" kwa Shishiemu peke yake!Yep yep.. umaarufu wa kushika ukuta ni very overwhelming, maana kila mtu anashangaa inakuaje watu na akili zao wanashikishwa ukuta kwa kutumia akili za mwenyekiti..
Kuna vitu nimefikiria nikagundua kwamba kweli CCM kupitia Rais Magufuli ni wajanja sana, wamewaweka wapinzani bize na maswala ya kimahakama na kisheria au wamewapigia gitaa la nyimbo flani hivi amazing na wao wote sasa wanacheza huo mziki mchafu, yeye magufuli akisimama jukwaani anahesabu siku ngapi zimebaki kumaliza miaka mitano na tathimi yake ya maendeleo ya nchi, wakati wapinzani wako bize na maandamano na kesi, sisi wananchi tulio wengi hatujui hata demokrasia ni nini, tunahitaji maji, dawa hospitalini barabara elimu bora nk.... Hii ndiyo demokrasia yetu ya kweli, tundu lisu kushinda kesi mimi sio Ishu Ishu yangu ni huyo tundu lisu kutufanyia makeke alete maji nk..
Hayo ni maoni yangu tu binafsi.
Hakuna maendeleo mahali popote penye uhuru wa kila mtu kufanya na kusema atakacho, kwa misingi hiyo hata vitabu vya imani za dini zisingeandika sheria! Wapinzani wanalilia kutopotezwa kwa awamu hii maana wakimuunga mkono JPM wao hawana chao 2020! kuna mambo hata hayahijati elimu ya digriiii!

Umeandika nini sasa? Ndio maana kuna watu wanasema mnajitoa akili! Ni ukuta upi unaoshikwa? Kwa uhakika "sio kila mtu" anashangaa UKUTA bali wengi ambao hawajajitoa akili kama wewe wanashangaa katiba "kusiginwa" kwa kuzuiwa mikutano ya kisiasakwa vyama vingine, lakini "ikaruhusiwa" kwa Shishiemu peke yake!