Nguruvi3, hivi hapa mtu anahukumiwa kwavile tu alikuwa CCM anahukumiwa kutokana na matendo yake alipokuwa CCM? Katika hili, utampa Dr. Slaa ujiko wa chee coz', kwa huo muktadha, Dr. Slaa na EL ni sawa na mbingu na ardhi! Nchi hii, kwa rika la akina Slaa; CCM ilikuwa ni kama Yanga na Simba! Na kama tatizo ni kuwa CCM basi kansa ya CCM kwa EL imeenea kila mahali compared na huyo Slaa!Lakini, si Dk Slaa alikuwa CCM. Yeye liwezajekubadilika
Wengi tu walikuwa CCM wamebadilika
Usisahau mwananchi aliyeipigia CCM kura miaka 50 anaweza kupigia upinzani. Je, hajabadilika!
Kwa hoja yako hii, watakaobadilisha Tanzania lazim awatoke nchi jirani kama si mbinuni
Senti sumuni tu
^1Mwalimu,
Lowasa alishutumiwa kwa hard evidence, zikiwemo barua and memo zinazoonesha involvement yake kwenye Richmond. CDM ilitangaza jina lake kuwa ni fisadi ikidai ina hard evidence za ushiriki wake. Kusema alijielezea kwenye kamati kuu bila kutoa specifics sio fair kwa kweli. Hii habari eti somebody told him, that some on top said he should proceed, does not make any sense.
Tuseme tu kuwa, hata CCM wako mafisadi and that should not be an agenda kwa Lowasa ila tusidanganye kuwa Lowasa alitoa maelezo. Kama kungekuwa kuna maelezo ya maana tusingekuwa tunazungumzia Richmond leo. Tukianza kukubali haya mambo ya eti alijieleza kwenye kamati kuu, kwani aliowafanyia ufisadi ni kamati kuu. Slippery Slope.
Mimi ndio nasema sitaki kuweka mayai yangu kwenye kapu moja, tutarudi kule kwa CCM, maswali yanapewa majibu marahisi halafu tunakubali. Kama upande mmoja utapewa serikali, it is in the best interest ya Tanzania upande huo usipewe na bunge. Tutaepusha haya mambo ya alijieleza kwenye kamati kuu ya chama wakati tunazungumzia nation interest.
Mwalimu,

JokaKuu,
MABADILIKO TOWARDS TANGANYIKA! Hapa EL ameshafahamu kwamba Watanzania ni rahisi kuwateka akili! Narudia, EL hana ubavu wa ku-engineer mabadiliko ya katiba itakayojali maslahi mapana ya wananchi na kupunguza nguvu dola! Ili kuwateka zaidi CHADEMA na CUF, sana sana ninachoona anaweza kufanya ni ku-revive tu Rasimu ya Katiba Ya Jaji Warioba na kurudisha suala la serikali tatu ambalo sichelei kulisema hata kidogo kwamba ndio pekee ambalo linaimarisha ushirikiano huu wa UKAWA, husani kati ya CHADEMA na CUF... huku CHADEMA wanataka Tanganyika yao, na kule CUF wanataka Zanzibar yao yenye mamlaka kamili!
^1
Hivi Tanzania ufisadi umefanyika katika swala la Richmond tu?
Halafu kitu ambacho sijapata ufafanuzi wa kutosha ni Richmond (ufisadi wa Lowassa) ilizaa Dowans na Dowans ni mkataba wa kifisadi lakini mpaka sasa serikali inaendelea kulipa Dowans pamoja na kujua kuwa Dowans imetokana na Richmond ambayo ni ufasadi wa Lowassa.. Sasa swali ambalo hata wewe nafikiri utakuwa nalo kichwani Je kwanini serikali iendelee kulipa Dowans hali wanafahamu ni mkataba wa kifisadi na ulitoka kwa fisadi Lowassa? Hiki kigugumizi cha nini?
Swali la pili hivi Tanzania tatizo la ufisadi ni Richmond tu? Kama kuna matatizo mengine ambayo ni makubwa zaidi ya Richmond tena ambayo hata Magufuli anahusishwa, ni kwanini haya hayaongelewi linaloongelewa ni Richmond tu?
Je hatufahamu kuwa katika wizara ya Ujenzi bil.265 zimetoweka bila maelezo yeyote?
Na je tunamaelezo gani kuhusu nyumba za serikali pamoja na kuuzwa kwa bei ya kutupwa lakini nyingine ziligawiwa kwa nyumba ndogo?
Tunapojadili ufisadi wa Lowassa ambaye ni mgombea rais kupita Ukawa, basi tujadili hata ufisadi wa Magufuli ambaye ni mgombea urais kupitia CCM.. hama sivyo tutakuwa tunapendelea upande mmoja na upande wa pili kuufanya kuwa mtakatifu wakati sivyo..
Alinda,
I think you are missing the point here. Hakuna mjadala wa kusema eti Lowasa ndio fisadi peke kwenye nchi hii, wala hakuna mjadala wa kuwa Dowans, Meremeta, Escrow, EPA, kuuza nyumba za serikali sio ufisadi. Au kuwa upi ulikuwa ufisadi mkubwa zaidi. Sidhani kuwa kuna anaesema hivyo, atleast i know i am not saying that. Ukiwa katika kundi la kunguru halafu ukajitangaza kuwa wewe ni njiwa lazima utegemee watu watakao uhoji huo u'njiwa wako. Sasa ukiianza kujitetea kwa kuwauliza mbona hamuwaulizi wale kunguru wengine kama vile unaonewa unakuwa unatia mashaka kwenye huo u'njiwa wako unaouhubiri.
Leo hii Magufuli akijidai kuibuka na kusema eti zile nyumba alipata amri toka juu, nae pia atakuwa kikaangoni kama alivyo Lowasa. Nasikitika kuwa kwenye mjadala huu unataka kujadili ufisadi wa Magufuli, labda kama sijaelewa huu mjadala unahusu nini au somehow ume evolve into something else completely. Huu mjadala unasema CHADEMA/UKAWA na uwekezaji usiotabirika. Naelewa ni kwa sababu gani issue ya Dr. Slaa imekuwa valid kuongelewa humu kwa sababu yeye ni matokeo ya mwanzo kabisa ya huo uwekezaji unazungumziwa.
Dada angu labda uniambie unataka tu uwasikie wadau wakimkaanga Magufuli na madudu yake, lakini sidhani kama ndio mada hasa inayozungumziwa hapa. Nimeona sehemu umemshauri Nguruvi aanzishe mada ya kuwalinganisha Lowasa na Magufuli kwenye uchaguzi huu, sasa kwenye huo mjadala wadau wakiendelea tu kuongelea Richmond bila kusema hivyo vingne na mimi ntaungana na wewe kukemea huo ubaguzi wa kihoja.
Kwa mujibu wa Tundu Lisu, Lowasa alijieleza mbele ya kamati kuu kuhusiana na tuhuma zinazomkabili hususan Richmond ambapo alimtaja mhusika mkuu. Ukiondoa Dr Slaa hatujasikia mjumbe mwingine yoyote wa kamati kuu alieonyesha kutoridhika na maelezo ya Lowasa.
Bado swali la msingi linabaki kwa Dr Slaa kwamba pingamizi lake kwa Lowasa linatokana na tuhuma za ufisadi au kutotimiza "masharti" ikiwemo kuingia na wabunge na wenyeviti wa CCM wa mikoa?
Unaweza kuwa sahihi, lakini unapoona Mbowe na Lissu ni sawa kuwa na urafiki mpya na Lowassa unaweza vipi kuona Slaa kuwa karibu na Mwigulu na Mwakyembe ni tatizo?
Kwamba ni nani ana ubavu wa kuileta katiba ya wananchi kati ya EL na Magufuri; hakuna hata mmoja kati yao and at least kwa Magufuri, yeye hana sababu ya kufanya hivyo! Hana sababu ya kufanya hivyo si kwamba katiba ya Sitta ni mzuri bali si miongoni mwa agenda ya chama chake wala yeye mwenyewe... na katika hili, hana wa kumfurahisha tofauti na EL!Je Magufuli ana ubavu wa kubadilisha katiba ya Sitta na kuwa ni katiba yenye maoni ya wananchi? Ukichukua Lowassa ambaye yuko katika chama kingine chama ambacho kimeunda umoja wa kutetea katiba ya wananchi, na Magufuli aliyeko katika chama ambacho kiliamua kwa wingi wao kukandamiza maoni ya wananchi, nani anayeweza kukupata matumaini ya kupata katiba walau yenye kubeba maoni ya wananchi?..
Tukija katika ufisadi, Pamoja na kutulisha propoganda kuhusu Lowassa na ufisadi wake, je kama serikali ilifahamu kuwa Lowassa ni fisadi walishindwa nini kumchukulia hatua? na kama walishindwa basi wafunge midomo wananchi tuamue nani tunamtaka kuwa rais wetu.
Pia nafikiri kwa sasa wananchi hawana shida na ufisadi wanachotaka ni wapate ajira kitu ambacho serikali imeshindwa kutengeneza mazingira ya vijana kujiajiri na kuwajiriwa, watu wapate madawa hospitali serikali imeshindwa, elimu bora mashuleni serikali imeshindwa na wewe leo nikikuuliza kuwa uchumi wa Tanzania unategemea nini (ukitoa madini na gesi) sijuia kama utanijibu. Haya ndio matatizo ya watanzania ambayo wanataka yapatiwe majibu.. Maana wanafahamu kama ufisadi basi si Lowassa peke yake bali viongozi karibia wote wa vyama vya siasa.
Na kuwa kudhibitisha ninachokisema Mwaka 2010 wakati wa ndio Richmond na list of shame ikiwa moto tuliona Lowassa alirudi bungeni na Rais Kikwete alishinda uchaguzi. Pia mwaka huu pamoj na kashfa ya Escrow na watu kukubali kupata mgao, lakini wabunge karibia wote waliohutumiwa na kula rushwa wanagombea ubunge na kuna uwezekano wa kurudi tena bunge na hata kama watashindwa basi watashindwa kwa sababu nyingine lakini si sababu ya Escrow..
Labda swali kujiuliza tunategemea nini kutoka kwa Magufuli na tunategemea nini kutoka kwa Lowassa..
Kwangu mimi sina mategemeo yeyote tofauti na haya kutoka kwa Magufuli maana ni chama kile kile chenye watu wale wale itakuwa maajabu kuleta kitu tofauti.
Kwani tunafahamu maswali aliyoulizwa mbele ya kamati kuu ni yepi? Au ulitaraji Lowasa ajieleze kwa njia ipi na wapi ili kuweka mambo sawa na kuondoa mashaka? Kama ni kuwa fair let us be fair on both sides. Hatuwezi kusema kwamba haturidhiki na majibu yake kule kamati kuu wakati hatuna uhakika wa kilichotokea huko ndani, au maswali yepi yaliuliza na yalijibiwa vipi. Ukweli unabaki kwamba alijieleza na maelezo yake yalikubaliwa na wajumbe wa kikao kile...
Alinda hilo la Invisible kuwaalika mtandaoni nadhani wengi wanaliafiki.Ombi kwa ndugu yangu Nguruvi3kama utaweza tunaomba uchambuzi wa wagombea urais hasa Lowassa na Magufuli maana kati yao mmoja wapo ndiye rais..
Ningependa kuwafahamu kwa undani zaidi wa hawa wagombea katika mambo ya maamuzi magumu lakini ambayo si hasara kwa Taifa, maono yao katika kumsaidia mtanzania wa hali ya chini, utendaji wao, mapenzi yao kwa mama yetu Tanzania, Ilani zao, je zinatekelezeka? na mwisho katika maono yao wanataka kuona Tanzania ya aina gani katika miaka 5 ijayo..
Na nafikri kama itawezekana basi tunaomba Invisible apeleke ombi wa hawa wagombea kwa ajili ya mahojiano humu JF inaweza kuwa kama ilivyokuwa kwa Mh. Kagesheki (video) au maandishi kama iliyokuwa kwa Mh. Zitto..
Nakumbuka tuliwahi kusema ili Lowassa afikiendoto ya matumaini ni lazima asimame kukabaliana na hili la Richmond perfectand squareMwalimu,
Nilikuwa sijaona hii reply yako. Sijui kama umenielewa nilivyosema Slippery Slope. Namaanisha haya mambo ya kusema mambo yenye national interest yameongelewa ndani ya kamati kuu wamekubaliana bila kutoa specific details ni mteremko wa kuteleza sana. Hiyo ndio tabia ya CCM inayokataliwa sasa hivi. Wamefanya hivi kwenye mikataba mbali mbali, hawataki kutoa details za content ya mikataba wanaishia tu kusema tumesaini mkataba!
Nikisema majibu hayaridhishi ni kweli kuwa hayaridhishi and that is being fair to both sides kwa sababu hiyo ni FACT. List of Shame haikutangazwa kwenye kamati kuu. Iitangazwa hadharani, kujisafisha toka kwenye list of shame ni lazima kufanyike hadharani. Kama kweli kuna hard evidence Lowasa ametoa to convince kamati kuu kwa nini isiwe wazi tuachane na hizi mambo ya Lowasa na Richmond ibaki CCM na Richmond. Ugumu uko wapi kwani??
Haya mambo yanakuwa repeatative mpaka yanachosha. Point sio kuwa Lowasa anachukiwa sana na wenye maoni kama yangu, HAPANA. Tatizo CCM bado kuna mafisadi wengi sana, hii ya Lowasa bila kuhojiwa inaset a loop hole huko mbeleni watu wezi waachie tu kwa sababu wamejieleza kwenye kamati kuu bila kutoa maelezo ya maana nini hasa kimesemwa huko kamati kuu. Na huko kamati kuu kuna watu sio malaika. Jamani kwa nini hamni lioni hili suala!
Wanasema "The End, justify the Means"! But in politics there are no Ends, there are just Means. Watanzania tuwe makini, we are setting precedence kwenye serikali ijayo on how mafisadi wa EPA, Meremeta, Escrow etc will be dealt with!! Again SLIPPERY SLOPE.
Mimi ndio nasema sitaki kuweka mayai yangu kwenye kapu moja, tutarudi kule kwa CCM, maswali yanapewa majibu marahisi halafu tunakubali. Kama upande mmoja utapewa serikali, it is in the best interest ya Tanzania upande huo usipewe na bunge. Tutaepusha haya mambo ya alijieleza kwenye kamati kuu ya chama wakati tunazungumzia nation interest.
Labda swali kujiuliza tunategemea nini kutoka kwa Magufuli na tunategemea nini kutoka kwa Lowassa..
Kwangu mimi sina mategemeo yeyote tofauti na haya kutoka kwa Magufuli maana ni chama kile kile chenye watu wale wale itakuwa maajabu kuleta kitu tofauti.
Nakumbuka tuliwahi kusema ili Lowassa afikiendoto ya matumaini ni lazima asimame kukabaliana na hili la Richmond perfectand square
Nakubaliana nawe kuhusu utamaduni wa kuwekamambo wazi.
Hili ni jambo lenye masilahi mapana. Maelezo ndani ya kamati kuu hayawezikuwafikia wengine wenye mashaka ambao huenda walikuwa tayari kumuunga mkonokama wangeelewa.
Lakini pia lina set bad precedent kama ulivyosema na linafuata model ya CCM.
Kwa upande mwingine, tutakuwa tunafanya sualahili kama ndilo tatizo pekee la kitaifa.
Kwa mfano, tukimtaka ajieleze sishie hapo tutamtaka Magufuli ataueleze yakehata kama yamezungumzwa katika kamati kuu
Hatutaishia hapo, tutarudi kwa akina Sittawalio obstruct justice tunayoidai leo Lowassa atueleze.
Hapa ndipo akina zeMarcopolo wasipotaka na wanaita propraganda.
Kwamba tunatakiwa tuzungumzie Lowassa na Richmond tu tufumbe macho madudumengine yaliyoamabatana na hilo. Hapana! Tutaweka wazi na kila mtu kwa nafasiyake bila kuomba radhi
Na mwisho, hapa kuna grey line, taujuiLowassa ana umbali gani anaoweza kwenda kuhusu mambo mengine tukizingatiaalikula oath Mwenye ujuzi na hili atusaidie
Lakini pia, tunakuwa na upungufu mkubwa sana.Kwanini CCM wadhani Richmond ni tatizo la wapinzani tukijua kuna vidonda vyaEscrow ambavyo baadhi ya wahusika wapo CCM
Ili kutenda haki ni lazima jamvi lifumuliwena kila kitu kionekane.
Tunawezakuongelea uwekezaji usiotabirika tukiwa na kila jambo wazi.
Sidhani kama jambo unaloliongelea linaweza kuwa applicable kwenye siasa zetu hasa siasa za kiafrika na Tanzania kwa ujumla.
Haitakaa itokee kwa Tanzania rais na bunge kuwa na utofauti kulingana na vyama.
Watanzania wanapiga kura kwa mtindo wa "full suti", wanachagua chama hawachagui mtu.
Hivi kwa mfano unataka kuniambia nikienda kwenye kupiga kura nimchague Magufuli kuwa Rais na Mnyika awe Mbunge na diwani atoke Cuf/Chadema/NLD?
Au nimpige Lowasa kuwa Rais, Fenala Mkangara kuwa Mbunge nimuache Mnyika na Diwani awe chama tofauti na hapo juu?
Hata dhamiri yangu itanisuta sana, nadhani nitakuwa nimeisaliti nafsi yangu.
Una hoja nzuri na yenye mantiki nzuri kwa mustakabali wa taifa letu, hata mimi natamani iwe hivyo kuweka serikali inayowajibika ila kwa watanzania tunaoishi nao mtaani sio wa aina hiyo.
Hiyo theory yako inafaa kuwa applied nchi ambazo zimeshaendelea.
Na pia kwenye huo muundo wa serikali naona wazi kuwa serikali itakuwa inaangushwa na bunge mara kwa mara.
Mkuu Bavaria nadhanimuhimu ni kubadili mind set za watu.Sidhani kama jambo unaloliongelea linaweza kuwa applicable kwenye siasa zetu hasa siasa za kiafrika na Tanzania kwa ujumla.
Haitakaa itokee kwa Tanzania rais na bunge kuwa na utofauti kulingana na vyama.
Watanzania wanapiga kura kwa mtindo wa "full suti", wanachagua chama hawachagui mtu.
Hivi kwa mfano unataka kuniambia nikienda kwenye kupiga kura nimchague Magufuli kuwa Rais na Mnyika awe Mbunge na diwani atoke Cuf/Chadema/NLD?
Au nimpige Lowasa kuwa Rais, Fenala Mkangara kuwa Mbunge nimuache Mnyika na Diwani awe chama tofauti na hapo juu?
Hata dhamiri yangu itanisuta sana, nadhani nitakuwa nimeisaliti nafsi yangu.
Una hoja nzuri na yenye mantiki nzuri kwa mustakabali wa taifa letu, hata mimi natamani iwe hivyo kuweka serikali inayowajibika ila kwa watanzania tunaoishi nao mtaani sio wa aina hiyo.
Hiyo theory yako inafaa kuwa applied nchi ambazo zimeshaendelea.
Na pia kwenye huo muundo wa serikali naona wazi kuwa serikali itakuwa inaangushwa na bunge mara kwa mara.
Ni kundi kubwa , wengine wameondoka wenginewamebadili mawazoHivi ni akina nani wanaunda 'Genge' la Lowassa?...
Kuna yeyote anaweza kunisaidia kuwataja kwa majina?...
Pia si vibaya mkuu wangu ukaanza na hao aliowaacha CCM...