Tony antony
JF-Expert Member
- Nov 17, 2013
- 4,988
- 3,270
wengine tuliuliza kipaumbele na main objective ya kuanzishwa UKAWA ni upi??mbona sioni lengo la kuanzishwa kwake,mmebaki kudandia vitu vya msimu yaani kwa kifupi mnaendeshwa na upepo,linalokuja hilohilo ndilo mnalokimbizana nalo,malengo na kipaumbele cha chama kikuu cha upinzani ni kipi??kuna watu wanasingizia eti marufuku ya mikutano imefanya wao wasituhabarishe juu ya malengo ya chama ,ni upuuzi.semeni tu kama mnaridhika na hali ya kulalamika baada ya uchaguzi kila election tuwaelewe.