CHADEMA/UKAWA mmejipangaje na 2020?

CHADEMA/UKAWA mmejipangaje na 2020?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
97,119
Reaction score
136,866
Haya, kama kulikuwa na shaka au sintofahamu juu ya suala la katiba mpya, hali hiyo imeondolewa na kauli ya si mwingine bali mtukufu wetu mwenyewe, rais wetu mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mwenyewe kwa mdomo wake wakati alipoongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wake na wao alisema kwamba wakati wa kampeni hakuahidi chochote kuhusu katiba mpya na hivyo kwake si suala lenye kipaumbele.

Sasa nyie chama kikuu cha upinzani mmejipangaje ? Bado mtashiriki kwenye huo uchaguzi na kuendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu?

Wiki chache zilizopita niliwashauri msusie chaguzi zote zijazo hadi hapo kitapoeleweka kuhusiana na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi.

Vipi sasa baada ya kusikia moja kwa moja kutoka kwa mkulu, bado mstashiriki huo uchaguzi [wa 2020]?
 
Hakuna kujipanga bila kudai Katiba ya mpya ya rasimu ya Warioba na tume huru ya uchaguzi. Vinginevyo dikteta uchwara atafanya yake ya wizi wa kura Bara na visiwani kwa kupitia mtutu wa bunduki na tume feki ya uchaguzi (Kitengo cha MACCM).
 
Wamepandikiza vyama vingine kama tlp, chausta, udp, etc vitashiriki hivyo, hapo ishu sio ukawa ni sisi wananchi tufanye walichofanya wakenya kupata tume huru hata kama kuna watu watakufa
 
Mimi nadhani hilo suala la katiba mpya pamoja na tume huru wapinzani wangelifanya kuwa ndo kipaumbele chao kwenda mbele.
 
Mwaka 2020 mgombea wa Chadema/ UKAWA ni yule yule Lowassa.

Kama alivyosema kipindi cha nyuma kwake Tume ya Uchaguzi siyo tatizo.

Kura za urais pigine kisha wamuachie yeye atazilinda.

Hapana aisee, tume ya uchaguzi ilivyo hivi sasa ni tatizo.

Kama Lowassa alisema si tatizo basi alipotoka sana.

Huenda labda aliposema hivyo bado mindset yake ilikuwa ki-CCM CCM.
 
Kwa aina ya uongozi ya mkuu hadi itakapofika 2020 kutakua na murder case nyingi zinazomuhusisha it's the matter of time we subiria tu!!Neno democracy kwake lina ukakasi sana mawazoni mwake na katiba ni msamiati mgumu sana katika fikra zake !!anachoona yeye ni kwamba ataongoza nchi kwa utashi wake
 
Haya, kama kulikuwa na shaka au sintofahamu juu ya suala la katiba mpya, hali hiyo imeondolewa na kauli ya si mwingine bali mtukufu wetu mwenyewe, rais wetu mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mwenyewe kwa mdomo wake wakati alipoongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wake na wao alisema kwamba wakati wa kampeni hakuahidi chochote kuhusu katiba mpya na hivyo kwake si suala lenye kipaumbele.

Sasa nyie chama kikuu cha upinzani mmejipangaje ? Bado mtashiriki kwenye huo uchaguzi na kuendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu?

Wiki chache zilizopita niliwashauri msusie chaguzi zote zijazo hadi hapo kitapoeleweka kuhusiana na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi.

Vipi sasa baada ya kusikia moja kwa moja kutoka kwa mkulu, bado mstashiriki huo uchaguzi [wa 2020]?
kiukweli bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hakuna jipya tutegemee kulalamika tu! Mara uchaguzi haukuwa huru N.k
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hicho ndio kinastahili kuwa kipaumbele cha UKAWA, vingine vyote kwa sasa havitaleta mabadiliko yoyote ya kisiasa nchini ambayo UKAWA inayataka. Kushiriki kwenye uchaguzi wa 2020 bila ya kuwepo katiba mpya ya rasimu ya Warioba na Tume huru ya uchaguzi ni kupoteza muda bure. Bado kuna muda wa kutosha tu kati ya sasa na 2020 wa kuifanya rasimu ya Warioba kuwa katiba ya nchi ambayo itatumika katika uchaguzi wa 2020 na pia kupata Tume huru ya uchaguzi ambayo wajumbe wake hawachaguliwi na Mwenyekiti wa CCM.

Mimi nadhani hilo suala la katiba mpya pamoja na tume huru wapinzani wangelifanya kuwa ndo kipaumbele chao kwenda mbele.
 
Wapinzani wa Tanzania bado hawako tayari kupewa nchi, naona angalau umewapa hoja ya kushikilia make sasa hv wanasubiri jamaa atoe hotuba ndo wachukue baadhi ya maneno ili wapate pa kushikilia.
 
Haya, kama kulikuwa na shaka au sintofahamu juu ya suala la katiba mpya, hali hiyo imeondolewa na kauli ya si mwingine bali mtukufu wetu mwenyewe, rais wetu mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Mwenyewe kwa mdomo wake wakati alipoongea na waandishi wa habari kwenye mkutano wake na wao alisema kwamba wakati wa kampeni hakuahidi chochote kuhusu katiba mpya na hivyo kwake si suala lenye kipaumbele.

Sasa nyie chama kikuu cha upinzani mmejipangaje ? Bado mtashiriki kwenye huo uchaguzi na kuendelea kuwa wasindikizaji wa CCM ikulu?

Wiki chache zilizopita niliwashauri msusie chaguzi zote zijazo hadi hapo kitapoeleweka kuhusiana na katiba mpya pamoja na tume huru ya uchaguzi.

Vipi sasa baada ya kusikia moja kwa moja kutoka kwa mkulu, bado mstashiriki huo uchaguzi [wa 2020]?
Wakisusa mimi naanzisha chama, yanaweza kunikuta ya wapinzani Hamad Rashid Zanzibar.Anyway mambo ya katiba Mbona Lowassa na kundi lakae la kina Kingunge walikuwemo ndani ya bunge la katiba na wakapiga nkura ya ndio kwa ibara zote za katiba pendekezwa .Leo wamekula posho zimeisha etihawaitaki tena na kibaya zaidi Chadema na mbowe inashirikiana nao.Hakuna mtu mwenye akili timamu atawasikiliza.Hawana credibility ya kudai katiba ya warioba kwa sasa
 
Wamepandikiza vyama vingine kama tlp, chausta, udp, etc vitashiriki hivyo, hapo ishu sio ukawa ni sisi wananchi tufanye walichofanya wakenya kupata tume huru hata kama kuna watu watakufa
Wananchi au ninyi wafuasi wa chaggadema?
 
Mwaka 2020 mgombea wa Chadema/ UKAWA ni yule yule Lowassa.

Kama alivyosema kipindi cha nyuma kwake Tume ya Uchaguzi siyo tatizo.

Kura za urais pigine kisha wamuachie yeye atazilinda.
Hayo alikuambia mlipokuwa kwenye kijiwe chako cha kuuza supu ya pweza??
 
Kwa aina ya uongozi ya mkuu hadi itakapofika 2020 kutakua na murder case nyingi zinazomuhusisha it's the matter of time we subiria tu!!Neno democracy kwake lina ukakasi sana mawazoni mwake na katiba ni msamiati mgumu sana katika fikra zake !!anachoona yeye ni kwamba ataongoza nchi kwa utashi wake
Hizo murder Case kama zitahusisha pia Mbowe mwenyewe, kina mukya na familia zao sio mbaya
 
Mkuu uchaguzi hauwezi kuwa huru na wa haki pale ambapo zinakamatwa/ kuokotwa kura zilizokwishapigwa na zote zimepigwa kwa wagombea wa CCM lakini Tume ya uchaguzi inakuwa kimya kabisa.

Ulindaji wa kura katika uchaguzi wa 2010 uliofanywa na wafuasi wa CHADEMA katika majimbo mbali mbali nchini ulisaidia sana katika kuongeza idadi ya Wabunge wa CHADEMA. Uchaguzi wa 2015 MACCM wakaona ulindaji ule ni pingamizi kubwa kwao la kutimiza adhma yao ya kuiba kura hivyo wakaufuta.

kiukweli bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi hakuna jipya tutegemee kulalamika tu! Mara uchaguzi haukuwa huru N.k
 
Wewe ndo ujipange,unafikiri hao unaowaita UKAWA wanatoa kura Mfukoni?Kura unapiga wewe,pia tulipo na tulipotoka,
Jiulize,Mkate ulikuwa 800 asaivi 1300/-,

Nauli ilikuwa 400, asaivi inapanda uda kwa 650/-,

Sukari ilikuwa 1500/- asaivi 2500/-

Umeme ulikuwa chini sasa umepanda.

Ajira zilikuwepo sasa zimesitishwa.

Ukikuwa unasoma mwanahakisi,Magazeti na blogs asaivi zimefungiwa.

Wanao/wadogo ,Mkeo na nduguzo wanahaha hakuna mikopo elimu ya juu,wengine wamefukuzwa baada ya kuitwa vilaza ilhali kosa si lao,Maana hata kama walioata divisio 4 kwanini mliwapeleka Udom?Si mngewaacha waende VETA?
Haya sasa mnyinge mnyingeni haki yake mpeni!
 
Nyie hivi tangu lini ukamuwekea chui pembe za mbuzi kichwani alafu unajindanganya kuwa mbuzi now lowasa hawezi kubadirika ukawa wanajikaanga wenyewe kumuweka lowasa as a candidate.
  • Atakae muunga mkono lowasa apimwe akili yake hii kauli aliwahi kuitoa mch peter msigwa mbunge wa iringa mjini.
  • vibaka wanachomwa moto lakini lowasa anatembea barabarani hii kauli aliwahi kuitoa na freeman mbowe
 
Wewe ndo ujipange,unafikiri hao unaowaita UKAWA wanatoa kura Mfukoni?Kura unapiga wewe,pia tulipo na tulipotoka,
Jiulize,Mkate ulikuwa 800 asaivi 1300/-,

Nauli ilikuwa 400, asaivi inapanda uda kwa 650/-,

Sukari ilikuwa 1500/- asaivi 2500/-

Umeme ulikuwa chini sasa umepanda.

Ajira zilikuwepo sasa zimesitishwa.

Ukikuwa unasoma mwanahakisi,Magazeti na blogs asaivi zimefungiwa.

Wanao/wadogo ,Mkeo na nduguzo wanahaha hakuna mikopo elimu ya juu,wengine wamefukuzwa baada ya kuitwa ****** ilhali kosa si lao,Maana hata kama walioata divisio 4 kwanini mliwapeleka Udom?Si mngewaacha waende VETA?
Haya sasa mnyinge mnyingeni haki yake mpeni!
Ni kweli Mkuu maana ingekuwa ndo CDM ipo madarakani hakuna tatizo hata moja kati ya uliyoyataja lingekuwepo.Kungekuwa na pepo ndogo
 
Wewe ndo ujipange,unafikiri hao unaowaita UKAWA wanatoa kura Mfukoni?Kura unapiga wewe,pia tulipo na tulipotoka,
Jiulize,Mkate ulikuwa 800 asaivi 1300/-,

Nauli ilikuwa 400, asaivi inapanda uda kwa 650/-,

Sukari ilikuwa 1500/- asaivi 2500/-

Umeme ulikuwa chini sasa umepanda.

Ajira zilikuwepo sasa zimesitishwa.

Ukikuwa unasoma mwanahakisi,Magazeti na blogs asaivi zimefungiwa.

Wanao/wadogo ,Mkeo na nduguzo wanahaha hakuna mikopo elimu ya juu,wengine wamefukuzwa baada ya kuitwa ****** ilhali kosa si lao,Maana hata kama walioata divisio 4 kwanini mliwapeleka Udom?Si mngewaacha waende VETA?
Haya sasa mnyinge mnyingeni haki yake mpeni!

Mwenyekiti NEC ni Shemeji wa Lowassa - Janga kubwa sana

Hawa jamaa bana yataka moyo kuwasikiliza
 
Back
Top Bottom