CHADEMA UK yaikosesha usingizi CCM - Kwanini CCM inahaha?

CHADEMA UK yaikosesha usingizi CCM - Kwanini CCM inahaha?

gem08

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
40
Reaction score
7
CHADEMA imejiandaa kupanua wigo na kuwathamini watanzania wanaoisi ughaibuni. Kwa kipindi kirefu sasa watanzania waliokwenda kutafuta elimu bora na kujifunza kutoka kwa nchi zilizoendelea wamekuwa hawathaminiki. Chama tawala kwa vipindi tofauti wamekuwa wakitoa ahadi zisizo na matekelezo. Ulimbukeni wa viongozi ndani ya CCM umeshidwa kabisa kugundua (as usual) umuhimu wao. Wengine wamewaita watanzania hawa kuwa ni wasaliti. Huu ni ufinyu wa mawazo kwa sababu zifuatazo: - Samahani kwa kubadili lugha.

  • It is essential to apprehend that they represent a market, a sales force, a constituency and an ambassadorial corps through which they can bring ‘the world to the homeland' and ‘the homeland to the world'. Put simply, "they may improve access to capital, knowledge and new technology, and play an important role for social development, growth opportunities, and connection between markets and countries."

  • Although studies can quantify the level of remittances and investments, it is more difficult to accurately evaluate the cultural and human impact of those living away form their home countries on their home and host countries: "changing role models, influencing gender roles, altering demographic and familial behaviors and perceptions of what a successful life should be."

  • Helping to redefine a homeland's value proposition and providing assistance in increasing the brand value of the homeland

  • Converting brain drain into brain gain and brain circulation

  • Acting as global "search networks" for developing local industry and assist in the creation of global knowledge networks to support the growth of indigenous companies.

  • They can contribute to the expansion of global trade with their knowledge of home country markets as the case of Chinese, Mexican and Indian diaspora indicate. A more recent linked trend has been reverse outward investment by major Indian and Chinese companies to Europe and the United States arising from a combination of business opportunity, trade relations and diaspora networks

  • They can contribute to the development of the homeland and assist in relief and aid efforts

  • They can act as ‘talent accelerators' for the homeland's next generation through mentoring, internships, and other training and educational opportunities that will offer opportunities to ‘internationalize' the next generation of leaders

  • They can contribute to the economic progress of the homeland through financial instruments such as remittances and bonds
  • The home country can increase its impact on the international stage if members of its pople hold prominent or influential positions in international organizations. This has diplomatic and reputation benefits for the home country.

CCM ilianzisha matawi nje ya nchi bila kuangalia ni jinsi gani matawi hayo yangetumika katika maendeleo ya nchi. A simple explanation ni hivi - matawi yalianzishwa for political reasons. Na kwa kuongeza tu CCM huwa hawana jipya.

Sasa CHADEMA imeliangalia hili kwa makini sana na kuamua kutengeneza chombo kitakachotumika kwa umakini zaidi katika sera na maendeleo ya nchi.

Hata hivyo CCM imeanza kuhanya kutafuta mbinu za ku-undermine juhudi hizi kwa gharama zozote. Wameanza kuwasiliana na watu mbalimbali ili kuanza kuchafua na kuvuruga. Cha kusikitisha ni kwamba CCM badala ya kuamka na kuanza kufanya kazi kwa kutumia akili, wamekuwa wakijipanga kuharibu juhudi za wengine. Nadhani nitatoa hoja hivi karibuni kuwashauri CCM wapate mafunzo ili kujua maana ya upinzani wa kisiasa ni nini.

Namalizia kwa kunukuu usemi wa CHADEMA UK kwenye facebook yao unaosema kwamba Chadema ina Rules mbili kuu nazo ni:
RULE NO. 1:Nia ya Chadema ni kumkomboa mtanzania kutoka kwenye umaskini aliobambikiziwa na CCM kwa miaka mingi.

RULE NO. 2: Kama unakataa soma RULE NO. 1.
​
Note: Habari Ifuatayo ni kwa wapenda maendelo. Kama sio mpenda maendeleo au hujui maana ya maendeleo ni nini basi usiendelee beyond this line.

Uchaguzi wa viongozi na uzinduzi wa CHADEMA UK utafanyika siku ya Jumamosi tarehe 09 March, 2013 kuanzia saa tisa alasiri.

Mgeni rasmi ni mbunge wa Ubungo mh. John Mnyika

Chakula na vinyaji vitatolewa

Mbali na uchaguzi na uzinduzi huo, wataalam kutoka nchi mbali mbali watatoa speech kuhusiana na maswala ya maendeleo kwa nchi yetu. Kuna mngi ya kujifunza.

Kila mpenda maendeleo anakaribishwa.

Kwa habari zaidi tembelea chademauk.org.uk
 
attachment.php
 
Tatizo la CCM lipo sehemu moja japo Chadema pia sikubaliani nao, CCM ukitizama kwenye viwanja wakiongea kuhusu Sera zao wengi wanaokwenda pale na kusikiliza zile Sera ni wale Wazee umri umekwenda washazoea toka zamani kusikiliza ahadi zisizotimia ila wanafika kusikiliza na tukija Vijana ndio wengi na je wale Vijana mie huwa najiuliza wamefika pale kumsikiliza Mbunge au wanafika pale kutizama Show za "BONGO FLEVA" (Nyimbo)??? uzuri wa Chadema vijana wengi wanasikiliza na kutafakari nini kinaongelewa kwenye sera zao za viwanjani na kwenye Mikutano mie kitu ambacho CCM na Chadema waache kutupiana mipira wote watimize hata kama haupo kwenye Power unanguvu za kutimiza na sio muda kwa kuwekeana Husda na Wivu na Longolongo nyingi nchi ni Masikini msaada lazima uanze kwenye Mitaa yetu sie wenyewe Mikono tunayo ila nikiweka CCM Vs Chadema basi mpaka sasa Chadema wapo mbele.
 
Point zako nimezikubali. Ni kweli hakuna haja ya vinyongo na kutupiana mipira. Ila ukweli ni kwamba CCM badala ya kuja na sera mpya wameanzisha mbinu moja hatari sana... kuwa-attack individuals ili kuivunja nguvu Chadema. Sasa cha kujiuliza nia yao hasa ni nini kwa mtanzania? Kwa Chadema nia inaeleweka. Labda ninukuu upya Rules mbili za Chadema kama ifuatavyo:

RULE NO. 1:Nia ya Chadema ni kumkomboa mtanzania kutoka kwenye umaskini aliobambikiziwa na CCM kwa miaka mingi.

RULE NO. 2: Kama unakataa soma RULE NO. 1.
 
Point zako nimezikubali. Ni kweli hakuna haja ya vinyongo na kutupiana mipira. Ila ukweli ni kwamba CCM badala ya kuja na sera mpya wameanzisha mbinu moja hatari sana... kuwa-attack individuals ili kuivunja nguvu Chadema. Sasa cha kujiuliza nia yao hasa ni nini kwa mtanzania? Kwa Chadema nia inaeleweka. Labda ninukuu upya Rules mbili za Chadema kama ifuatavyo:

RULE NO. 1:Nia ya Chadema ni kumkomboa mtanzania kutoka kwenye umaskini aliobambikiziwa na CCM kwa miaka mingi.

RULE NO. 2: Kama unakataa soma RULE NO. 1.

Chadema ip hiyo hii ya akina mbowe /wajasiriamali wa siasa ndo wakombozi
 
Back
Top Bottom