CHADEMA UK yaandaa Bbq Party - Golugwa mgeni rasmi

gem08

Member
Joined
Jun 11, 2012
Posts
40
Reaction score
7
CHADEMA UK inawakaribisha waTanzania na wapenzi wote wa CHADEMA kwenye barbeque (End of the Year BBQ) party itakayofanyika Comunity Hall/Back Garden, 44 Watlington street, RG1 4RJ Reading tarehe 05-10-2013.

Mgeni rasmi atakuwa ni mwanasiasa mwenye kipaji cha pekee na muhimili muhimu wa CHADEMA – katibu wa CHADEMA Arusha na kanda ya kaskazini ndugu Amani Golugwa.

Itakuwa ni siku nzuri kujiburudisha kwa nyama choma, vinywaji na muziki free of charge. Lengo ni kuwakutanisha wapenda maendeleo katika kubadilishana mawazo na kujumuika katika harakati za kimaendeleo kwa taifa.

Hii shughuli si kwa wanaCHADEMA peke yake. Kila mTanzania mpenda maendeleo anakaribishwa kuhudhuria. Ni wakati mzuri kukaa pamoja tukijiburudisha huku tukibadilishana mawazo on party lines kiutu uzima bila malumbano. Wakati ni huu kuonesha utashi na ukomavu wa kisiasa.

Chakula na vinywaji bure!!!

Karibuni wote

golugwa.jpg
 
View attachment 111993

Mungu awabariki sana!!!!
 
chadema uk inawakaribisha watanzania na wapenzi wote wa chadema kwenye barbeque (end of the year bbq) party itakayofanyika comunity hall/back garden, 44 watlington street, rg1 4rj reading tarehe 05-10-2013.

mgeni rasmi atakuwa ni mwanasiasa mwenye kipaji cha pekee na muhimili muhimu wa chadema – katibu wa chadema arusha na kanda ya kaskazini ndugu amani golugwa.

itakuwa ni siku nzuri kujiburudisha kwa nyama choma, vinywaji na muziki free of charge. Lengo ni kuwakutanisha wapenda maendeleo katika kubadilishana mawazo na kujumuika katika harakati za kimaendeleo kwa taifa.

hii shughuli si kwa wanachadema peke yake. Kila mtanzania mpenda maendeleo anakaribishwa kuhudhuria. Ni wakati mzuri kukaa pamoja tukijiburudisha huku tukibadilishana mawazo on party lines kiutu uzima bila malumbano. Wakati ni huu kuonesha utashi na ukomavu wa kisiasa.

chakula na vinywaji bure!!!

karibuni wote

View attachment 111993

chadema ipo pia uingereza, mbona nasikiaga kuna vyama viwili tu hupko vya upinzani
 
CHADEMA UK inawakaribisha waTanzania na wapenzi wote wa CHADEMA kwenye barbeque (End of the Year BBQ) party itakayofanyika Comunity Hall/Back Garden, 44 Watlington street, RG1 4RJ Reading tarehe 05-10-2013.

Mgeni rasmi atakuwa ni mwanasiasa mwenye kipaji cha pekee na muhimili muhimu wa CHADEMA – katibu wa CHADEMA Arusha na kanda ya kaskazini ndugu Amani Golugwa.

Itakuwa ni siku nzuri kujiburudisha kwa nyama choma, vinywaji na muziki free of charge. Lengo ni kuwakutanisha wapenda maendeleo katika kubadilishana mawazo na kujumuika katika harakati za kimaendeleo kwa taifa.

Hii shughuli si kwa wanaCHADEMA peke yake. Kila mTanzania mpenda maendeleo anakaribishwa kuhudhuria. Ni wakati mzuri kukaa pamoja tukijiburudisha huku tukibadilishana mawazo on party lines kiutu uzima bila malumbano. Wakati ni huu kuonesha utashi na ukomavu wa kisiasa.

Chakula na vinywaji bure!!!

Karibuni wote

View attachment 111993

Angekuwa na busara asingekubali yeye na chama chake kuchoma nauli kwenda kula nyama,kwa mujibu wa tangazo hili hakuna tija kwa mwananchi wa kawaida kwa hii feast!!!!!

Sasa huwa mnalalamika nini viongozi wengine kusafiri sana nje ya nchi???!! Huyu akija kuwa na madaraka kitaifa si viatu ataenda kusafisha nje pia!!!!!

Hivi kuna kipindi na nyie CHADEMA mnakuwa offline kabisa au ndo ulevi wa sifa na madaraka???!!!!

Cc Ben Saanane,Makene and other criticals
 
jitahidi kufikiri kama binadamu na si kama konokono! Habari inasema atakuwa mgeni rasmi, wewe unaanza kufikiria juu ya nauli, why not arguing about the Bbq itself? Siyo kila wakati na kwa kila kitu kuwa against!!
 
Wewe hata ubongo sijui kama unao..aint you a bonny head???!!!!
Watu mpaka wanashikana na polisi bungeni kwa ugumu na utete wa hali ya siasa!!!!
Kiongozi wake mkuu anatolewa kwa kusindikizwa na polisi!!!!
Shida za elimu afya na mengineyo bado zinawaandama wananchi wanaodai kiwapigania!!!

Halafu kutoka chama hicho hicho atoke kiongozi kwenda kushuhudia nyama choma eti kubadilishana mawazo!!!!!! Is not this a seroius joke????!!!!!!!!

Halafu a couch potato like you unataka mambo haya yasipewe uangalizi wa jicho la tatu???!!!!Pendeni vyama vya siasa ila wanapokosea waambieni wazi mchana kweupe ndo mtawajenga! !!!!!!!!!

Ama kweli asiyejua maana usimwambie maana!!!!!

Hivi ni kweli miafrika ndivyo tulivyo????!!!!!!
 
Back
Top Bottom