CHADEMA: Ubunge jimbo la Chalinze

CHADEMA: Ubunge jimbo la Chalinze

Uijui chalinze ,dini kuna wakristo na waislamu idadi sawa .kabila wakwere .maasai,wakwavi,ect .ondoa hii hoja yako ya ukabila na udini .,na watanzania wote wakulaani kwa kutuletea ubaguzi kwenye karne hii .

Kweli kabisa mkuu udini na Ukabila hauna nafasi na ni Sumu mbaya waangalie Rwanda na Mali.
 
Jiandaeni kwa kipigo kingine chadema kwisha habari yao wamepotezwa na ACT.

Yakupasa uolewe sasa umri wako unakubalika, ila jaribu kujiheshimu kidogo ili upate mme bora.Huu uropokaji unaoufanya hapa JF unakupunguzia ubora wako.
 
CDM watafute mtu mwenye integrity ya hali ya juu sana.. manake atapambana na watu wenye hela za madawa.

Ni vigumu sana kushindana na hela za Unga
 
Chadema na wakwere/waislam wa chalinze wapi na wapi?
Mngelikua na akili ya mbali hiyo pesa inayoenda kwenye kampeini za chalinze mngeipeleka kwenye mradi wowote wa wabunge wenu walau hata jimbo moja au msaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima ili kumnusuru mbunge huyo na kimbuga kinachowanyemelea kwa kupoteza majimbo kibao 2015 kuliko kuifanyia kampeini.....

Hiyo nafasi cuf inawafaa sana lakini sio chadema....
Siasa za kibongo huitaji akili nyingi kuzichambua hasa linapokuja suala la udini/ukabila/ukanda...

Cuf kamata fulsa twende zetu.

Laanatullah
 
CHADEMA jihadharini na mamluki, kuna mmoja katoke Morogoro. kuweni macho sana.
 
Yakupasa uolewe sasa umri wako unakubalika, ila jaribu kujiheshimu kidogo ili upate mme bora.Huu uropokaji unaoufanya hapa JF unakupunguzia ubora wako.

Umri ushaenda,atazaa?????
 
Humu jukwaani kuna watu ambao wameamua kujitoa ufahamu kabisa, mmoja wapo ni huyu anayejiita simiyu yetu, sijawahi ona kachangia mambo ya kujenga humu ndani, hata kama analipwa anatumika vibaya sana aisee, yaani kama ni ubongo huyu ni bikira, anahitaji kubikiriwa, yeye akisikia neno Chadema tu, basi kwake ni kesi, atakuja na mambo ya ajabuajabu, jaribu kubadilika uendane na wanajukwaa wenzio.
 
Inaonyesha jinsi ambavyo waTZ elimu imeshuka. Mnatoa kashfa na kejeli za nini? CDM kwa kufuata katiba na sheria za nchi kama watapata mgombea mzuri aingie kwenye kinyanganyiro cha uchaguzi. Kidemokrasia wakiona labda mgombeaji wa CUF anafaa wanaweza kujiondoa huko mbele ya safari ili upinzani ushinde. Lengo ni kupata viongozi wenye uwezo wa kuiongoza hii nchi kikatiba na kisheria kwani kwa sasa kwa mwananchi wa kawaida tunaona mambo hayaendi sawa sawa hasa upande wa elimu na afya.

Mtu yeyote anayshabikia ukabila na udini hana nafasi katika taifa hili kwani sisi tu wamoja na taifa hili sio la kidini wala kikabila ni letu sote.
 
Pamoja makamanda kanyaga twende, tusikate tamaa na hayo ma thithiem yanayopokea buk7 kutukatisha tamaa.
 
Uijui chalinze ,dini kuna wakristo na waislamu idadi sawa .kabila wakwere .maasai,wakwavi,ect .ondoa hii hoja yako ya ukabila na udini .,na watanzania wote wakulaani kwa kutuletea ubaguzi kwenye karne hii .

bila shaka hapo kwenye ect ulimaanisha e.t.c yaani na kadhalika
 
ongereni makamanda kazeni buti tupo pamoja nanyi katika ukombozi zidi yachama cha kisulutani magamba
 
Chadema huu ukweli msioweza kuukwepa kwa
u-familia kwenye chama,ya riz one na mgimwa
ni tusi kwenu
WanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa
Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.
Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu
yangali na Boriti.
Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu
1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa
kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya -
hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya
3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni
mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na
Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon
Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.
4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa
Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na
Utawala Wa Chadema.
5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa
Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema
ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita
unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce
Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa
na mtoto wamezaa.
6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa
Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa
7. Mama Maulida Anna Komu - ni mke Halali
Wa baba mdogo Wa mkurugenzi Wa fedha na
utawala Wa Chadema. Yaani ni mama mdogo
Wa Anthony Komu.
8.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA
Taifa ameoa Mtoto wa Mtei(Mmiliki) wa
Chadema na Muasisi,Wakwe wamepeana
Chama.
 
Chadema na wakwere/waislam wa chalinze wapi na wapi?
Mngelikua na akili ya mbali hiyo pesa inayoenda kwenye kampeini za chalinze mngeipeleka kwenye mradi wowote wa wabunge wenu walau hata jimbo moja au msaada kwenye kituo cha kulelea watoto yatima ili kumnusuru mbunge huyo na kimbuga kinachowanyemelea kwa kupoteza majimbo kibao 2015 kuliko kuifanyia kampeini.....

Hiyo nafasi cuf inawafaa sana lakini sio chadema....
Siasa za kibongo huitaji akili nyingi kuzichambua hasa linapokuja suala la udini/ukabila/ukanda...

Cuf kamata fulsa twende zetu.

We mkabila na mdini, namna hiyo hatufiki. Nitakuunga mkono kuwa ushawishi wa JK kwa watu wa chalinze ni mkubwa kiasi kuwa huwezi shindana na mtoto wake, lakini sio udini na ukabila!
 
Chadema huu ukweli msioweza kuukwepa kwa
u-familia kwenye chama,ya riz one na mgimwa
ni tusi kwenu
WanaCHADEMA wanaoweweseka na Uteuzi Wa
Mgimwa - Kalenga, na Ridhiwani - Chalinze.
Msitoe Kibanzi macho ya wenzenu ya kwenu
yangali na Boriti.
Ubunge Wa kupeana umeanzia Kwenu
1. Tundu Lissu, Dada yake Christina Lissu.
2. Philemon Ndesamburo mtoto wake Wa
kumzaa Lucy Philemon Ndesamburo Owenya -
hili owenya ni jina la mume wake. Dkt Owenya
3. Grace Sintato Kiwelu Philen Ndesamburo- ni
mkwe Wa Philemon Ndesamburo aliyeolewa na
Sindato Kiwelu, mtoto Wa Philemon
Ndesamburo na kaka Wa Lucy Owenya.
4. Sabrina Sungura - Ni mchumba/ Kimada Wa
Anthony Komu, Mkurugenzi Wa Fedha na
Utawala Wa Chadema.
5. Joyce Mukya - Ni mke Wa kisheria Wa
Freeman Mbowe. Kumbuka sheria zinasema
ukikaa na mwanamke kwa miezi inayozidi sita
unahesabika kuwa umeoa. Mbowe na Joyce
Mukya wameishi pamoja mwaka Wa nne sasa
na mtoto wamezaa.
6. Rose Kamili Sukum - ni mke halali Wa ndoa
Wa katibu mkuu Wa Chadema Dr. Slaa
7. Mama Maulida Anna Komu - ni mke Halali
Wa baba mdogo Wa mkurugenzi Wa fedha na
utawala Wa Chadema. Yaani ni mama mdogo
Wa Anthony Komu.
8.Freeman Mbowe Mwenyekiti wa CHADEMA
Taifa ameoa Mtoto wa Mtei(Mmiliki) wa
Chadema na Muasisi,Wakwe wamepeana
Chama.
 
Tunazungumzia wagombea Chalinze "Act" inatoka wapi? na wao wapo ktk kinyang'anyiro? lengo ni ku-divert hoja za msingi
 
Back
Top Bottom