Wakati huo huo, zaidi ya wanachama 50 wa CCM, akiwemo aliyekuwa kada wa chama hicho wa kikosi cha Green Guard, Ayub Mlwilo, mkazi wa Rujewa na wakazi wengine 138 wamejiunga na Chadema.
Mavuno hayo ya Chadema yalitokana na mkutano mkubwa walioufanya juzi katika maeneo tofauti wilayani Mbarali, ambapo pamoja na mambo mengine, kukusanya changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa maeneo hayo.
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Mbarali CCM, Dickson Kilufi, ameshauriwa kukihama chama chake na kujiunga na Chadema ambacho kinatetea wananchi.
Ushauri huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, John Mwambigija, wakati akiwahutubia wananchi wa Rujewa katika wilaya ya Mbarali katika operesheni ya Chadema Twanga Kotekote. Alisema anamshauri Kilufi kuachana na CCM na kujiunga na chama hicho.
Hii operation wanayoifanya CDM imenifurahisha sana. Inaonekana haja jamaa wanataka magamba wasipumue kabisa...
Mambo ilikuwa ni kutukana tu. Mara tutashikishana ukuta, mara atapigwa mtu, oooh nchi ni yetu wote lakini mwisho wa mkutano hakuna jibu hata moja kwa matatizo ya watanzania. Ndio maana jamaa wameamua kutwanga kotekoteeeeeeNape nae alikuwa Mwanza, sijui mambo ni aje huko.
Mambo ilikuwa ni kutukana tu. Mara tutashikishana ukuta, mara atapigwa mtu, oooh nchi ni yetu wote lakini mwisho wa mkutano hakuna jibu hata moja kwa matatizo ya watanzania. Ndio maana jamaa wameamua kutwanga kotekoteeeeee
Kushishana ukuta maana yake nini?
alitaka kuwatigolize wakazi wote wa mwanza wake kwa waume
Wakati huo huo, zaidi ya wanachama 50 wa CCM, akiwemo aliyekuwa kada wa chama hicho wa kikosi cha Green Guard, Ayub Mlwilo, mkazi wa Rujewa na wakazi wengine 138 wamejiunga na Chadema.
Mavuno hayo ya Chadema yalitokana na mkutano mkubwa walioufanya juzi katika maeneo tofauti wilayani Mbarali, ambapo pamoja na mambo mengine, kukusanya changamoto mbalimbali zinazowakabili wananchi wa maeneo hayo.
Katika hatua nyingine, Mbunge wa Mbarali CCM, Dickson Kilufi, ameshauriwa kukihama chama chake na kujiunga na Chadema ambacho kinatetea wananchi.
Ushauri huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, John Mwambigija, wakati akiwahutubia wananchi wa Rujewa katika wilaya ya Mbarali katika operesheni ya Chadema Twanga Kotekote. Alisema anamshauri Kilufi kuachana na CCM na kujiunga na chama hicho.
Hii operation wanayoifanya CDM imenifurahisha sana. Inaonekana haja jamaa wanataka magamba wasipumue kabisa...
Hii safi sana naomba waendelee, huyo mbunge aliyeshauriwa amereply vipi? Tujuzane wakuu
Lakini haoni kama wananchi watamhusisha na maisha magumu akiendelea kubaki.Amesema atasubiri hadi 2015 bunge litakapovunjwa, hivi sasa anaogopa kuhama magamba yatamtoa roho