Mashushushu wetu wataliacha hilo litokee?Kwani lazima iyo TV station isajiliwe TZ? wanaweza kuisajili hata Rwanda na tukapata matangazo yote kama kawa... tena ikaunganishwa na DSTV, Star Times and kwenye dish and etc. Hakuna kisichowezekana!!
Kwani lazima iyo TV station isajiliwe TZ? wanaweza kuisajili hata Rwanda na tukapata matangazo yote kama kawa... tena ikaunganishwa na DSTV, Star Times and kwenye dish and etc. Hakuna kisichowezekana!!
WITO!!! Nawaomba CHADEMA wafanye haraka kuanzisha TV station yao, au WanaJF na wadau wengine wanaopenda mabadiliko makubwa ya kisiasa ya nchi yetu waanzishe TV stations zisizokuwa na uoga wala upendeleo kwa kunarusha habari na makongamano ya wasomi na makundi mbalimbali ya wanaharakati yanayodai uhuru na haki za wananchi na kupata mustakabali wa nchi yetu
TANZANIA BILA CCM INAWEZEKA, TIMIZA WAJIBU WAKO.
NAOMBA KUWASILISHA!!
Hapo kwenye RED, wana-JF na a.k.a. zao usiwategemee wakuunge mkono kuanzisha luninga, ushujaa wao ni hukuhuku mafichoni!
Hapo kwenye RED, wana-JF na a.k.a. zao usiwategemee wakuunge mkono kuanzisha luninga, ushujaa wao ni hukuhuku mafichoni!