CHADEMA tusiwapuuze hawa

CHADEMA tusiwapuuze hawa

Wewe unaongea kama nani wakati wewe sisimizi tu ndani ya chadema kwanza unatumiwa na ccm.

Tatizo la wengi kila ataeikosoa chadema au kutoa ushauri basi ni kibaraka wa ccm


huku ngazi ya chini kwenye kata kuna wakina mnyika wengi tu.
 
mkuu kwa vile unajifurahisha sawa, lakini kiukweli upinzani wanaingia kwenye uchaguzi huu huku wameshindwa, kuna maeneo hakuna upinzani, na kina mbowe, lipumba na wenzao wanatapa kwamba ccm itaondoka ikulu kwenye uchaguzi wa mwaka huu. Sijaona maandalizi ya dhati ya ukawa kuchukua nchi sijaona! Sijaona. Nenda maeneo mengi ya vijijini kwenye taifa letu utakubali nisemalo.
View attachment 226174
 
Back
Top Bottom