Chadema tusikatishwe tamaa

gkutta

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
273
168
KUNA MASWALI MENGI LAKINI TUSIPOKEE VIJINENO TOKA KAMBI YA LUMUMBA KUTAKA KUTUKATISHA TAMAA!!!....

RAFIKI: >>>Kuna viongozi waliomizwa mno kwenye uchaguzi uliopita na hili ndilo linalokitesa chama chetu.
Chama kimekuwa na mitandao . Na hii ni hatari sana

HATUNA JIBU RAHISI KWA SWALI AMA UKWELI HUU KAMA UPO....ILA NISEME TU....

KWA SASA LA MSINGI KULIKO YOTE SIO KUUMIZWA NA HALI YA KIDEMOKRASIA BALI KUHAKIKISHA MAONO YETU CDM KULETA MAGEUZI NA UKOMBOZI YANABAKI IMARA NA YANATETEWA KWA NGUVU NA WELEDI UNAOSTAHILI...LOLOTE LIWALO KAMA MAONO NA NGUVU YA CHAMA VINALINDWA...SISI TUPIGANIE UKOMBOZI NA FINE TOUCHES ZA DEMOKRASIA ZITAFUATA BAADA YA USHINDI
 
Toeni oil chafu Lowasa(list of shame) ili mpate cha kuzungumza otherwise ni kuwapotezea waTZ muda
 
chama hakina msimamo wa kifkira,umakin ktk utendaji kazi wake kazi yake kuvunja uhusiano baina ya serikali na wananchi wake! kwann msikate tamaa sasa
 
Toeni oil chafu Lowasa(list of shame) ili mpate cha kuzungumza otherwise ni kuwapotezea waTZ muda
KUNA OIL CHAFU TANZANIA KULIKO CCM??....CCM IMECHAFUKA KULIKO KITU CHOCHOTE KIASI KWAMBA HAKUNA SAFI KITAINGIA CCM KIKABAKI KISAFI HATA KWA SEKUNDE!!..HIYO NDIYO YA KUONDOLEWA TANZANIA..VINGINEVYO NI BORA CHAFU KUONDOKA CCM ILI IWEZE KUWA SAFI NJE YA SEAWAGE!
 
chama hakina msimamo wa kifkira,umakin ktk utendaji kazi wake kazi yake kuvunja uhusiano baina ya serikali na wananchi wake! kwann msikate tamaa sasa
Hakuna mahusiano yanayoweza kujengwa baina ya Serikali na wananchi kwa kuwafanya wananchi kuwa wapagazi wa serikali badala ya raia huru wenye kuitegemeza serikali katika majukumu yake kuwatumikia wananchi!!...Kinyume cha hapo serikali itakuwa inajitenga yenyewe mbali na wananchi watakaokuwa siku zote wakijitetea kupata haki zao dhidi ya serikali husika!
 
Back
Top Bottom