IsayaMwita
JF-Expert Member
- Mar 9, 2008
- 1,127
- 140
Ni siku tano sasa tangu lile ongezeko la nauli limeanza kutelezeka, hakika mambo yanakwenda ndivyo sivyo. kwa kawaida mtu anaweza kudhani sisi ni walalamishi tusiyopenda kuchangia pato la taifa ( cost shareling) shida inakuja pale hata pale bei ya mizigo ilipopanda,
Mfano mwenye guta ( baiskeli ya miguu mitatu sh ni 3500, sasa kiuchumi zile cost anazibeba mlaji wa bidhaa hizo, bei hizi zimepanda mara dufu.
Kwa wale wanafunzi wa vyuo(IFM, MAGOGONI , DIT, CBE Pamoja na Mwalimu nyerere memorial academy) wamepndishiwa nauli sasa ni sh 200
Nadhani sasa Chademahuu ndiyo wakati wenu wa kulisimamia Taifa kutoka kwenye uonevu wa watanzania wanyonge, semeni kitu ndugu zangu najua serikali hii itawasikia
Tumebaki mayatima hatuna hata mtetezi.
Acha unafiki wewe ubunge mmechagua CCM kwenye shida ndio unakumbuka CHADEMA, beba zigo hilo la hali zaidi, kasi zaidi na nguvu zaidi....
Hapo ndo tulibugi, tulipewa kanga, chunvi za viroba na vijisenti kidogo tukawanyima kura, natumai lazima tufundishwe adabu kwani tumekuwa tukidanganywa tangu 1990 na serikali lafi hii ya ccm lakini bado hatujitambui, hili ni funzo ili siku nyingine tutie adabu.ni wazi hatukutaka watetezi wa kweli tukawachagua walafi ndo haya tunayaona na cha moto tunakipata ivyo tuwe wapole tukiingizwa katika lindi ili la umasikini na kuumizwa ayo ndo maisha bora tulokimilia na kuyachagua.nashauri tuangalie pia tujipanga kwa next time, kwani hii ndo ishakula kwetu, majuto ni mjukuu, tusoweza basi tupige mbizi kama walivyosema watawala wetu
unataka wafanyaje? Wanunue kivuko wachaji sh 100 mtu au 700 gari?
mama wa watu(Kombo)kupitia CDM alipiga kampeni hamukumsikiliza mkahongwa masufulia ya wali,kofia na kaka,vitenge sasa ndo mnaona CDM ndo kimbilio,mimi naona mpate kwanza fundisho ndo akiri itakaa sawa,sisi na huku tegeta wala ,tuko shwari
macho na masikio kwa wabunge wa Dar tusikie na tuone watafanya nini?
Wapi elimu ya uraia wapi Tungi,au tuangoma,au wapi hao watu wa kigamboni lazima mpate adhabu kwanza ili mjifunze kwa kufanya kosa, sisi tulilinda kura ,tulitoa macho hatukulala nyie mlifiki haki unapewa tu inatafutwaKIROJO, sasa unajua alipata kura ngapi mkuu? ni kweli kwamba mama alifanya vizuri katika uchaguzi ule ila tuu kura hazikutosha, najua wewe uko pembezoni sana, haujua geografia ya kigamboni, watu wake , bado kuna kila sababu ya kupeleka elimu ya urai hapa Kigamboni.