CHADEMA Tunduma ni kama maji


hajui alitendalo
 
Silinde atashinda Momba bila shaka kwa sababu kwa kiasi kikubwa ameweza kuyaishi maisha ya mbunge wa Momba, lakini haiondoi ukweli namna alivyoingia madarakani!Ni kijana wangu na mbunge wangu na nadhani kafanya vema kwa miaka hii mitano

utakuwa mdada. sio bure
 
Kwani matokeo ya serikali za mitaa hujayaona???Au unategemea yatabadilika?Kadri siku zinavyozidi kwenda mnapoteza tu ni vigumu kurejesha!
 
Hata Silinde anajua ni wauza unga na wavuta bangi waliomsaidia kampeni zake, watu wastaarabu walikuwa chini ya asilimia 2
Tafsiri ya ustaarabu kwako ni ipi?Na takwimu ya 2% umeitoa wapi?Manake wewe mwenyewe unaweza kujiona ni mstaarabu lakini mimi nikakuona "mjinga" tu.Ustaarabu ni Perception ya mtu tu!
 
Nadhani watz wanaoishi dar ndio wanaongoza kwa kutojielewa kuliko sehemu nyingine ya nchi.
kwa niaba ya watu wote wanaomiliki nyumba zao binafsi jijini Dar es Salaam naomba radhi sana kwa makosa wanayotenda wapangaji wetu , nakuahidi 2015 hatutarudia huo ujinga .
 
utakuwa mdada. sio bure

Wee ----- huu ndio tunaita mfumo dume mnaoendekeza!kwani mdada hawezi kujenga hoja mkajadili, kwani mdada hawezi kutoa comments!In my view this is the worst foolish thread I have ever come across since joining JF in 2011!I hope you never repeat this rabbish since I have vomitted enough and I cant afford the same again! Just for your information Iam a male, does it help!?
 
CCM imebaki kwenye makabati ya Lumumba tu na kwa wasaka tonge
 

Unaishi sayari gani? Subiri October mabox yaseme. Muulize Masha na Dialo walipigwa kimya kimya bila kelele.
 
kwa niaba ya watu wote wanaomiliki nyumba zao binafsi jijini Dar es Salaam naomba radhi sana kwa makosa wanayotenda wapangaji wetu , nakuahidi 2015 hatutarudia huo ujinga .

Afadhari km hilo litatekelezwa maana vijana wa dsm ni bongolala sana
 

usipaniki mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…