CHADEMA Tunduma ni kama maji

Kwahiyo ccm mliompiga na kumjeruhi mtia nia wenu nao ni cdm? Shirikisha ubongo wako

Kiswahili Chako Kweli wewe ni mmawia waulize wamakonde watakuambia maana ya Jina lako!
 
Kwa kuwa mji unaoongoza kwa Ukimwi Sawa maana watu wengi wameathirika na matumizi ya dawa za kupunguza Makali. Ndio mji wenye maambukizo Mengi TANZANIA hongereni kwa hilo

pole sana wewe uvccm yawezekana ni kagonjwa wewe si bure
 

Chadema mpango Wa Mungu
 
Siwachagulii ila nawashauri kuwa Kuchagua kiongozi mwenye ufanisi kwenu ni haki yenu ya msingi, coz huyo mliyemchagua ambaye hata hana madhara zaidi ya kuwafundisha kuunda vikund vya kufanya fujo kwenye mikutano ya vyama vya siasa

Kwa mawazo yako ndio umeandika kitu gani hapo?
 
Pole sana mtenda dhuluma mwaka huu utajitia kitanzi maana cdm itakomba majimbo kibao
Silinde atashinda Momba bila shaka kwa sababu kwa kiasi kikubwa ameweza kuyaishi maisha ya mbunge wa Momba, lakini haiondoi ukweli namna alivyoingia madarakani!Ni kijana wangu na mbunge wangu na nadhani kafanya vema kwa miaka hii mitano
 
Nimesema kweli tupu,hata Mbunge wangu mpendwa "Dogo" Silinde anajua ukweli huo!Umekosekana ushahidi tu kama ambavyo ushahidi wa wauza unga ulivyo mgumu kuupata!Silinde hajanikosea jambo na naamini atashinda tena kwa kishindo kwa sababu hakwenda bungeni na kuwapigania wauza unga bali ameweza kuwasemea watu wa Momba!So good for first term, we give him extra 5 years!
 

MTENDAHAKI;
Nakuomba utende tu kwa haki. Utawezaje kusema kwamba umesema kweli tupu wakati unamtaja Mh. Mbunge tena kwa jina na jimbo kuwa alipelekwa na wauza unga bungeni?? Jamani, hivi weye ungeandikwa humu, jina lako, kazi yako na makazi yako kuwa unauza unga, ungefurahi hata kama unauuza kweli??
Mambo mengine jamani, tuyaache yalivyo
 
Kama tatizo ni kumsema hapa nakaa zangu kimya!
 
Wana Tunduma ni watz wanaojielewa sn pengine kuliko sehemu nyingine yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…