CHADEMA Tunduma ni kama maji

anaitwa Sauti ya simba! anatokea cdm

Atakuwa pandikizi la CCM maana hata hana madhara na hasikiki, ndo kwanza namskia Leo. kweli Wanatunduma naanza kuamini ni wavuta bangi kama hamuwezi hata kufanya Evaluation juu ya kiongozi ambaye mkimchagua atakuwa na impact juu ya mstakabari wa maendeleo yenu, harafu et Tunduma mnajiita wapinzani wa ukweli kumbe mnachagua km washabiki tu. Hakika mnastahili kupewa Elimu juu ya namna ya kuchagua viongoz bora vingine mtaishia kuwa bendera na wazomeaji tu.
 

pole sana Mkuu,ndiye mbunge Wa milele APA Tunduma
 
Ina maana hao wauza unga walikuwa wanafanya hiyo kazi bila kujulikana na serikali? Au serikali ni dhaifu hadi wauza unga wawe wengi kuliko hao unao waita wastaarabu?
maccm hayajitambui mkuu
 

Wewe mbona unajikomba komba kwa cdm?
 

Wewe ni nani hadi uichagulie cdm kiongozi?
 
Bahati mbaya situmii bangi wala viroba so siwezi kujikomba kwa Chama cha Wavuta bangi, we labda jibu hoja ktk tathmini yangu

Huna hoja yoyote zaidi ya kuweweseka,tangu lini gamba likawashauli cdm?
 
Wewe ni nani hadi uichagulie cdm kiongozi?

Siwachagulii ila nawashauri kuwa Kuchagua kiongozi mwenye ufanisi kwenu ni haki yenu ya msingi, coz huyo mliyemchagua ambaye hata hana madhara zaidi ya kuwafundisha kuunda vikund vya kufanya fujo kwenye mikutano ya vyama vya siasa
 
Siwachagulii ila nawashauri kuwa Kuchagua kiongozi mwenye ufanisi kwenu ni haki yenu ya msingi, coz huyo mliyemchagua ambaye hata hana madhara zaidi ya kuwafundisha kuunda vikund vya kufanya fujo kwenye mikutano ya vyama vya siasa

Kwahiyo ccm mliompiga na kumjeruhi mtia nia wenu nao ni cdm? Shirikisha ubongo wako
 

Ungekumbuka kwamba chama tawala ndio mabingwa wa "mitusi" hiyo, ungekaa kimya na si kukurupuka namna hiyo. Kibajaji, Nkamia na wengine wengi utadhani wamehitimu college ya "mitusi.
 
Tunduma hii ya Mbeya Wilaya mpya ya Momba? Au tunduma gani? Maana Nataka kujua kama Tunduma ya Mbeya unayoizungumzia!

Kama ya Mbeya basi nitaamini kuwa Vijana wa Bavicha wameshaanza kuwa vichaa maana hawaijuwi Tunduma. Sio ya Mbeya kwani pepo wanayoizungumzia ipi? Kwa watu aina gani? Class gani? Au makuli au wauza mchele? Au wauza mitumba? Au mama ntilie wanaouza chakula Usiku Na mchana kwasababu ya Malory? Au wenye guest house wanaolaza wenye Malory?
 
Likawashauri siyo likawashauli, Umekunywa viroba vingap we bavicha?

Kwa Mama Ntilie Sawa kwasababu ya madereva wa malori maana Ni mpakani lakini kwa wengine ni balaa au kwa kuwa mji unaoongoza kwa maradhi ya Ukimwi Tanzania?
 
Hao makuli wa Tunduma Hawajitambui, ni viroba Vya zambia vinawatoa akili
 
alexander paulo

Kwa kuwa mji unaoongoza kwa Ukimwi Sawa maana watu wengi wameathirika na matumizi ya dawa za kupunguza Makali. Ndio mji wenye maambukizo Mengi TANZANIA hongereni kwa hilo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…