alexander paulo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 492
- 155
ukiona wengi wanashabikia chadema ni watu weziwezi wanangojea kilipuke furugu waibe
ukiona wengi wanashabikia chadema ni watu weziwezi wanangojea kilipuke furugu waibe
ukiona wengi wanashabikia chadema ni watu weziwezi wanangojea kilipuke furugu waibe
Pm haraka sana tukanywe supu kwa Mangi pale Simaya tafadhari..!!
BACK TANGANYIKA
Umefanya jambo zuri kujifariji. Maana kwa siasa ya mitusi mliyochagua badala ya sera msitegemee kuna mtu atawafariji. Kwa style ya kukosa sera za kuwauzia wananchi katika uchaguzi huu amini usiamini mtaanguka vibaya sana na hamtoamini kilichotokea baadae sana mtagundua kuwa badala ya kutangaza sera za kukijenga chama chenu nyie mlitumia muda mwingi kuhamasishana kuzomea hali itakayopelekea wapiga kura kuwadharau na kuwapa x.
Badirikeni otherwise majimbo mengi yanayowapa kichwa kuwa mnangome yatachukuliwa kilaini
Kama una pata hela yako kwa jasho la haki huna sababu ya kuishabikia C.C.M
Ndio maana ikatwa boda ya wajanja si mchezo, huwezi kuwafananisha na wale wa boda za tanga na boda za Lumumba
Hata Silinde anajua ni wauza unga na wavuta bangi waliomsaidia kampeni zake, watu wastaarabu walikuwa chini ya asilimia 2
Hizo so habari za kweli CHADEMA Tunduma mbona wanapoteana