Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,899
Kuna kaukweli kidogo,but kwa kupitia uchaguzi halisi hawa kamwe hawawezi kuchaguliwa,maana watanzania wa Leo wanauwezo mkubwa wa kutumia logic.Hata hivyo wanaweza kushinda ktk uchaguzi usio na uyakinifu ndani yake.Tatizo wabunge wa CHADEMA hawaoni future yao uchaguzi ujao 2020,,,,wanajiuzulu na kujiunga na CCM ili wapate nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM...........wakisubiri mpaka uchaguzi mkuu CCM watachagua wagombea wengine
Ni aibu mwanaume kulalamika kununuliwa!Huyu Mbunge ni hovyo kabisa
na MCC ni wafa maji, kununua watu wachache hakuboreshi uchumi
Wananchi wanataaabika na Hali mbaya ya uchumi, vyuma vimekaza
MCC wanajifariji kwa kusema ni wapiga dili wanalalamika, IMF haoooo
Uchumi na ukosefu wa ajira unaumiza watanzania, hao viongozi wachache wanafiki hawatafanya MCc wapate kura
Kama Sizonje anaungwa mkono, weka Tume Huru ya uchaguzi
Kama mnaungwa mkono, kwa nini mawakala wa upinzani wanakamatwa?
Kununua wapinzania ni mbinu za Kishamba
Sasa wabunge Aina hyo si wachumia tumbo tuTatizo wabunge wa CHADEMA hawaoni future yao uchaguzi ujao 2020,,,,wanajiuzulu na kujiunga na CCM ili wapate nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM...........wakisubiri mpaka uchaguzi mkuu CCM watachagua wagombea wengine
Lisu atarudi akute wote washahama mpaka mwenyekiti wake.Ewe Lissu sema neno moja tu kwa haya yatokeayo na roho yetu ipone.
Maana sasa inakuwa TOO MUCH....
KUNA NINI HUKO NDANI.!?
Hivi kujenga nchi yako sharti uwe mbunge ????? Lo wachumia tumbo kumbe hawana aibu mbele za nyuso za wapiga jura !!!!Tatizo wabunge wa CHADEMA hawaoni future yao uchaguzi ujao 2020,,,,wanajiuzulu na kujiunga na CCM ili wapate nafasi ya kugombea ubunge kupitia CCM...........wakisubiri mpaka uchaguzi mkuu CCM watachagua wagombea wengine
Mnaonesha jinsi gani mlivyo....badala ya kutatua matatizo ya wananchi kwa kutumia fedha nyie mnatumia fedha kuwanunua hao makhbaNi aibu mwanaume kulalamika kununuliwa!
Hivi humo chadema kumbe wote mnanunuliwa hovyo tu kiasi hiki?