Maybe you do not understand the value of 330 million shillings every month.Hili swala sio la CHADEMA tu, ni swala la vyama vyote vya upinzani (hata wale waliojiuza pamoja n vyama vyao kama machangudoa - CUF) pamoja na raia wapenda demokrasia wapinge vikali huu uchaguzi na utawala.
Sina chama mimi, tunaposhindwa mimi na nani?Hapa ndipo mnaposhindwa! Hamna hekima, busara, wala Adabu. Pia mmeishakuwa brainwashed! Ninyi ni vimeo kwa Uwepo wa Tanzania imara, inayopiga hatua za kimaendeleo katika nyanja zote! Ninyi ni mamluki, bahati nzuri Tanzania ni kubwa sana!
Upuuzi mtupu. Nguvu ya umma ipi wakati huo umma umewakataa kwa kura za kufuru. Yani mtu anapigwa gap za kura 30K,bado anaongea uvundo hapa. Mmepata mlichokuwa mnakitafuta.Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.
Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.
UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtakoma mwaka huu. Mlifikiri mnashindania umonitor wa darasa la nne?Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?
Maskini washenzi sana, tunawapigania mmekaa mnaangalia tu, shenzi kabisa, hivi unahisi nina shida yoyote? Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
Hizi hasira zako kwambie Lisu mzunguke dar nzima mkinunua nyanya ili ziishe?Sina chama mimi, tunaposhindwa mimi na nani?
We jamaa nimekublock nashangaa reply zako zinanifikia, sepa niache, sina muda na stupid people
Kwa hiyo wale waliokuwa wanahudhuria mikutano ya CDM tena kwa ari kubwa ilikuwa ni facebook etc!!? Kuweni hata na soni nyie ccmCHADEMA mko mtandaoni tu ila huko field mambo ni tofauti kabisaa.
Wale waliend kumshangaa Terminator jinsi alivyo survive shaba.Kwa hiyo wale waliokuwa wanahudhuria mikutano ya CDM tena kwa ari kubwa ilikuwa ni facebook etc!!? Kuweni hata na soni nyie ccm
Kutakuwa na njaa Sana. Njaa hii itatugawa siku za usoni. Kuna vigogo wa Chadema watanunuliwa.viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote
Ongezea na mpenzi wake Heche!Matiko nae chali huko tarime mjini
Kwani Chadema bado ipo?Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.
Tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.
UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
We sema unapigania ugali wako kima wewe!Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?
Maskini washenzi sana, tunawapigania mmekaa mnaangalia tu, shenzi kabisa, hivi unahisi nina shida yoyote? Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
Nyie hamuwezi kukinukisha, mpo wachache sanaa. Ukuta mlishindwa, sembuse sasa. Keyboard warriors mnachekeshagaWatu wanahisi matokeo yametangazwa limeisha, subiri kitawaka muda si mrefu, kama wanahisi watachomoka kirahisirahisi hivi wanaota.
Hupunguz wala huongezi chochote, ni kama hewa tuNimehuzunika sana aisee
The wrong done these lunatics wanadhani hii kulazimisha namna hii ndio labda tutawapenda,it will never happen,sana sana binafsi nimezidi ongeza chuki mno na serikali ya Magufuli..
Yaani nina chuki kupita maelezo....
Basi tu,inabidi kunyamaza,ila I will never unga mkono serikali on anything whatsoever yaani