Keyboard warriors... Kwanza ushatoka lindo la kulinda kura?Watu wanahisi matokeo yametangazwa limeisha, subiri kitawaka muda si mrefu, kama wanahisi watachomoka kirahisirahisi hivi wanaota.
Nani fala atoe nchi kwa makaratasi tu yaliyoprintiwa pale Jamana printers?Watu wanahisi matokeo yametangazwa limeisha, subiri kitawaka muda si mrefu, kama wanahisi watachomoka kirahisirahisi hivi wanaota.
Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?Keyboard warriors... Kwanza ushatoka lindo la kulinda kura?
Acha uoga wewe wasipotoa tamko Sasa?Hapa ni kukiwasha tu nasubiri tamko
Maagizo yote ya kukinukisha yaliyotolewa wakati wa kampeni na mgombea wa upinzani yamepuuzwa. Nini kipya cha kufavya wasiyapuuze sasa?? Imetoka hiyo.Watu wanahisi matokeo yametangazwa limeisha, subiri kitawaka muda si mrefu, kama wanahisi watachomoka kirahisirahisi hivi wanaota.
Kaa usubiri, hata trailer bado haijaanza kuchezaMaagizo yote ya kukinukisha yaliyotolewa wakati wa kampeni na mgombea wa upinzani yamepuuzwa. Nini kipya cha kufavya wasiyapuuze sasa?? Imetoka hiyo.
Una lolote kapuku kipepeo.. wenye hela zao wako neutral wanakula maisha taratibu.Nishatoka ndiyo, wewe umefanya nini?
Maskini washenzi sana, tunawapigania mmekaa mnaangalia tu, shenzi kabisa, hivi unahisi nina shida yoyote? Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid
Makamanda mtaani mnaingia saa ngapi??Chama cha Demokrasia kimepita misukosuko mingi sana. mwenendo wa siasa za miaka mitano iliyopita, uchaguzi wa serikali za mitaa na sasa uchaguzi mkuu ni sehemu tu ya misukosuko hiyo.
tuendeleze ile resilience yetu. viongozi wetu tunawaamini, na sisi wafuasi wa chama tupo na tunaona yote yanayotendeka. yote tunayoyaona ni ubatili na hili iwe chachu ya kushikamana na kukijenga chama.
UTHABITI ni muhimu kwa kuwa tunaamini katika NGUVU YA UMMA.
Mungu ibariki Tanzania, Mungu kibariki Chama cha Demokrasia.
Huyo jamaa muongo kishenzi. Eti anasubiri tamko la viongozi... Tamko gani?Maagizo yote ya kukinukisha yaliyotolewa wakati wa kampeni na mgombea wa upinzani yamepuuzwa. Nini kipya cha kufavya wasiyapuuze sasa?? Imetoka hiyo.
Ushuzi mtupu!! Artificial Coward.Kaa usubiri, hata trailer bado haijaanza kucheza
Wathubutu! Ndo watamjua mashine , just, nguli, mwanaume, Baba mwenye nyumba. Magufuli!Makamanda mtaani mnaingia saa ngapi??
Hapa ndipo mnaposhindwa! Hamna hekima, busara, wala Adabu. Pia mmeishakuwa brainwashed! Ninyi ni vimeo kwa Uwepo wa Tanzania imara, inayopiga hatua za kimaendeleo katika nyanja zote! Ninyi ni mamluki, bahati nzuri Tanzania ni kubwa sana!Nimerudi bongo kudeal na uchaguzi tu mambo yakiisha naondoka nawaacha manyani muendelee kumtukuza mshenzi mwenzenu. Stupid