Mandla Jr.
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 3,098
- 631
Wana JF, Salaam,
Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama
vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Lakini pamoja na gharama kubwa za uzinduzi wa huduma hii kukusanya pesa kutoka kwa wananchi
wenye mapenzi mema na chadema mpaka leo haifahamiki chama kimekusanya kiasi gani kutoka kwa
wavuja jasho wa Tanzania. Na kibaya zaidi kumekuwa na usiri mkubwa juu ya makusanyo ya pesa
kupitia njia hii.
Habari ambazo ziko wazi ni kuwa kwasasa ni M/Kiti-Mbowe na Katibu Mkuu- Dr Slaa ndio wanajua ni
kiasi gani kimekusanywa kupitia mfumo huu. Hali hii imeleta sintofahamu kubwa ndani ya chadema hasa
wakati huu wa kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwani kuna Wilaya na Mikoa iko hoi kutokana na
ukata wa pesa.
Nimalizie kwa kusema "Uungwana ni Vitendo" ni vyema tukawa WASAFI!!!
Mandla
Wa Dodoma.

Tuwaambie ili iweje? Ukijua tumekusanya kiasi gani itakusaidia nini?Wana JF, Salaam,

Bilioni 321,Wana JF, Salaam,Chadema walizindua mfumo wa wanachama kuchangia chama chao kupitia Mitandao ya simu kama vile M-pesa, tigopesa nk nk. Ni mfumo mzuri na ni vyema kuutumia kama chama.
Wewe kweli kilaza, unasema michango ya chama chao, sasa unataka uambiwe kama nani? Kama unataka kujua hamia kwanza Chadema uanze kusema chama chetu ndio utajua, unaongelea maswala ya ndoa wakati bado mhuni? Pole yako