Ninaweza kuamini pasipo shaka kwamba wewe bado una stock kubwa sana ya viroba na mihadarati nyumbani mwako licha ya serikali ya chama lako tupu kuanzisha vita dhidi ya ulevi huo, wewe ni msaliti namba 1 wa Bashite.Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Usiwachagulie wapinzani wako wa kuwaongoza. Kama unavyowaona ni dhaifu wao wanawaoneni hamfai [emoji23] [emoji12] na ndiyo maisha yalivyo.Katibu Mkuu CDM kwani ni nani hivi sasa?
Lugha za fb ndo unaleta Jf ..really? Huna hata aibu
Unashauri ivunjwe na nani?Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Umeelewa post yangu?kAcha kuota wewe chadema hata ukienda mikutano Ya chadema wanaovaa vazi la chadema ni viongozi wanachama hawana wanaona kujionyesha ni chadema hadharani ni nuksi. Nenda mkutano wa CCM wa hadhara uone watu walivyo na mapenzi na chama walivyovaa jezi za CCM walivyo wengi mleta mada yuko sahihi
Kweli bwana CDM ivunjwe kabisa haina manufaa kabisaaa!!Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Sure. Hata kura nyingi chadema walipata zilitoka kwa lowasa ambazo zilitokana na aliowarubuni akiwa CCM ambao walikuwa wapenzi wa CCM ambao baada ya kushindwa wamerudisha mapenzi CCM na wengi hawakumpa kura kwa kuwa walimpenda kama lowasa bali waliipa kura pesa yake aliyowamwagia. Zile kura alizopata lowasa ni za pesa alizomwaga. Zilikuwa kura za kusema asante lowasa kwa kutupa pesa za bure. 2020 nakuhakikishia lowasa hana pesa ziwe zake au za marafiki zake za kumwaga hovyo kama uchaguzi uliopita .Kutokana na joto la kisiasa lilipokuwa limefikia nina uhakika slaa angegombania angeshinda uraisi. Tishio la CCM uchaguzi uliopita alikuwa slaa na CCM ilikata jina la lowasa ikiogopa kuwa ikimuweka na chadema ikamuweka slaa CCM ingeshindwa uchaguzi mapema asubuhi kwani uchaguzi ungekuwa kati Ya mtu msafi ambaye ni slaa na mtuhumiwa wa ufisadi lowasa ambaye alitimuwa uwaziri mkuu na CCM wenyewe kwa shinikizo la chadema. Hivyo lowasa angekosa kura za wana CCM na kura zote za upinzani,Na wasio na vyama wachukiao ufisadi hivyo kuifanya CCM ifungashwe virago.C
Chadema iliondoka na Dr Slaa!
Kabisa! Chama kimeporomokaChadema kwa sasa hawana tofauti na chama cha NLD tofauti yao ni kwamba chadema wamebahatisha wabunge
Umeshamchemshia mumeo maji ya kuoga lakini? au unashinda tu JF kuposti nudes...Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Mkuu Uko sahihi sasa hivi watetezi wakubwa wa chadema ni viongozi tu wanachama wengi walishakibwaga.Hata mikutano yao Ya hadhara hawataki kuvaa mivazi ya chadema. Ukiona imevaliwa ni viongozi wamevaa tofauti na CCM.
Tunaongelea uchaguzi wa raisi sio hizo chaguzi za vichochoroni!
!
Kuna uchaguzi ulifanyika Jana wilayani Kyela. Fatilia matokeo ya uchaguzi huo halafu uhare upya
Unataka kuona kinachofurahisha nafsi yako tu. Meza sifongo hiyo.Tunaongelea uchaguzi wa raisi sio hizo chaguzi za vichochoroni
Ndio zimemvuruga huyu buku 7 bila chenji akaleta hii rubbish yake hapo juu.