Ndoto ya mchana.
chadema temeke wajipanga kupasua ngome ya mh zena mgaya diwani wa tandika kwa kuchukua makamanda wake 50 kurudisha kadi siku ya jumapili tarehe 27/10/2013. Hivyo mnakaribishwa kujionea jinsi ngome inavyo vunjwa ,vua gamba vaa gwanda
Chadema Temeke Bado Sana Haipo Vizur. Hakuna Wafanya Kazi Wote Ni Waheshimiwa Tu!!i