CHADEMA Tarime wavurugwa na Mbowe

mkuu umegeuka mpumbavu sasa!
umegeuka sanamu
umegeuka na kuwa mpuuzi kutetea ambayo haviteteeki
umekuwa adui wa utu wako mzuri

ebu jiangalie

haaahahahhhahahahahaahahh.....Ulitaka aisemee Act chama cha wenye msongo waawazo
 
Chunguza jibu la Tarime utajiona jinsi ulivyokua mjinga
Huyo Waberoya ana allergy na jina la Mbowe akisikia Mbowe lazima akurupuke hata bila kuuliza sababu, ya Tarime hayajui wala hayamhusu angeuliza aambiwe.
 
Last edited by a moderator:
Wee mleta mada hamnazo kabisa..
Mbowe atawapangia vipi mtu wa kumchagua wakati kila Diwani/Mjumbe ana kura yake amabayo anapiga kwa utashi wake??
Tafuta keep left ukageuze uanze upya...
Hopeless.
 
rejea nilichokiandika na angalia alichokisema Mh heche then ndio urudi kukoment

Kati ya hao waliokuwa wanagombea uenyekiti wa council, nani ni hawala wa mbowe,,?

kwa nn unachafua watu kwenye mitandao?

Unamfaham Nyanswi?, unamfaham sauti,?

kwa nn unakuwa mpumbavu kiasi hiki?
 
Huyo Waberoya ana allergy na jina la Mbowe akisikia Mbowe lazima akurupuke hata bila kuuliza sababu, ya Tarime hayajui wala hayamhusu angeuliza aambiwe.

hata wewe una allergy na jina langu

aisee nimeamini unampenda sana Mbowe, tena kwa dhati
 
Niko chumbani.....unataka nikuhughulikie?

mkuu, umefika huko? kisa post tu za JF?

hivi wenzetu wengine kwa nn hamchukulii life as simple as this??

just joked to created amicable atmosphere and friendly one unakuja na maneno ya ajabu, pole sana mkuu

sio maisha hayo!
 
Mleta mada umevurugwa......hivi mbowe anawachagulia mtu au nyie ndo mnaamua nan mumchague ??

attachment.php
 
quote_icon.png
By Quinine
Majungu hayasaidii uchaguzi umekwisha hakuna mtu aliyeshinda zaidi ya Chadema kushinda.
mkuu umegeuka mpumbavu sasa!
umegeuka sanamu
umegeuka na kuwa mpuuzi kutetea ambayo haviteteeki
umekuwa adui wa utu wako mzuri

ebu jiangalie

Waberoya,
Hao wapo wengi ...wa aina hiyo. Wamedanganywa na Mbowe wakadanganyika na kupumbazwa sasa wamegeuka kuwa mazezeta-taahira. Hao ndio waliokuwa wanaviringisha mikono eti fisadi Lowassa ni mabadiliko na bado leo hii wataenda kumpokea fisadi wao akijitokeza.
 
Lowassa, haji na hatakuja kuwa rais wa Tanzania

na ameweka gundu chadema kuwa hakuna rais atakayekuja kutoka kwenye hicho chama
 
mkuu, umefika huko? kisa post tu za JF?

hivi wenzetu wengine kwa nn hamchukulii life as simple as this??

just joked to created amicable atmosphere and friendly one unakuja na maneno ya ajabu, pole sana mkuu

sio maisha hayo!

Mkuu...kwani wewe umeelewa nini? Soma upya uelewe
 
Back
Top Bottom