CHADEMA stukeni msipotumia akili mtajikuta mnaingia kwenye mtego wa Paulo Makonda na kumpa point tatu muhimu

Sidhani kama CDM wana muda wa kumjibu hiyo mfoji vyeti, yeye kaona kuingia na gia ya kumsema Mbowe na Lissu ndiyo iwe turufu yake ya kwanza ku-justify mshahara.

CDM ni level nyingine ndugu.
 
tuendelee kukaza fuvu
 
Back
Top Bottom