hahaaaa! kujifariji. kalenga hatukuyaona haya maandishi.wakati wao jumuiya zao zote zimekwenda KUJIKOMBA CHALINZE sisi tumesambaa nchi nzima !
chadema katika jimbo la solwa yaendelea kujizatiti katika kata za usule,mishepo,bukene,na katika kijiji cha masunula.