ADVENTURE JOHN
Member
- Jan 30, 2014
- 34
- 1
chadema katika jimbo la solwa yaendelea kujizatiti katika kata za usule,mishepo,bukene,na katika kijiji cha masunula.
chadema katika jimbo la solwa yaendelea kujizatiti katika kata za usule,mishepo,bukene,na katika kijiji cha masunula.
pigeni kazi msikatishwe tamaa na matokeo ya kalenga kukata tamaa ni dhambi mbaya kushinda ata uchawi
mwenye haki wangu ataanguka mara saba nami nitamwinua,na utambi niliowasha hautazimika,kamanda safi sana ukombozi sio lelemama
Tuko pamoja makamanda!
wakati wao jumuiya zao zote zimekwenda kujikomba chalinze sisi tumesambaa nchi nzima !
Jimbo la solwa ni jimbo langu na kati ya majimbo yenye eneo kubwa hapa tz
linapakana na Nzega, kahama na Mwanza.
Huyu anayesema Chadema imefanya chochote ni muongo. Hilo jimbo ni ngome ya CCM. Labda kidogo CUF maana lipumba ni mtu wa tabora.
Jimbo la solwa ni gumu sana kwa wapinzani. Ikumbukwe wamewahi kufa wabunge watatu mfururizo in one year.
Solwa siyo kaskazini. Watu wa solwa wanajitambua.
hicho kifungu kimenigusa sana .