Chadema siyo sehemu yakufanyia umaarufu kwasasa.

Chadema siyo sehemu yakufanyia umaarufu kwasasa.

WaKijita

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
590
Reaction score
85
Nianze kwa kuipongeza kamati kuu ya cdm kwa maamuzi magumu na yakihistoria, nadhani litakuwa fundisho kwa wengi wenye nia km hiyo ya kudhani umaarufu wao ndo kukuza chama badala ya kuuza sera za chama binafsi nampenda zitto lakini kwa haya yaliyo mbele yake simuungi mkono ata kidogo kwasababu unajaribu kutoboa mashua wakati tuko katikati ya bahari ili tusiangamie wengi lazima tukutose baharini.
 
...naunga mkono hoja,gharama waliyolipa chadema ni hasara kwa muda mfupi lakini ni msingi wa mageuzi na wametengeneza mfano kwa vyama vyote vya siasa na chama kitakacho shindwa kufikia level waliyoweka cdm basi demokrasia yao itakuwa hovyo kabisaa...
 
Huwezi kujifanya mkubwa kuliko taasisi iliyokufanya uwe kama ulivyo. Wenye tabia kama hawa kina zzk ni malimbukeni ambao pamoja na kusoma haijawasaidia.
 
Nianze kwa kuipongeza kamati kuu ya cdm kwa maamuzi magumu na yakihistoria, nadhani litakuwa fundisho kwa wengi wenye nia km hiyo ya kudhani umaarufu wao ndo kukuza chama badala ya kuuza sera za chama binafsi nampenda zitto lakini kwa haya yaliyo mbele yake simuungi mkono ata kidogo kwasababu unajaribu kutoboa mashua wakati tuko katikati ya bahari ili tusiangamie wengi lazima tukutose baharini.

Hamna lolote nyie ni sawa na misukule tu na mwenye misukule ni Mtei akisaidiwa na Mbowe. Zitto ni kichwa kamwe hakuingia na hatoingia kwenye umiliki wa Mtei na mwenzie Mbowe na ndiyo sababu kubwa ya kuzushiwa aliyozushiwa na hao wenye chama ambao ni Mtei aayeshika remote na kukikotroo chama kama mali yake binafsi na kuwanyima watu wengine kutoka kanda isiyokuwa yao kushika hatamu ya uongozi kama Zitto alivyotaka kufanya. Huu ni udikteta wenye lengo la kuwadhofisha watu wenye mawazo tofauti na ya hao wanaojifanya wana hatimiliki na chama. Ni hayo tu.
 
Back
Top Bottom