CHADEMA siyo Mali yako Mbowe nani kakupa mamlaka ya kuunganisha ndoa

martin nyari

Member
Jan 9, 2014
45
0
Wadau chadema ni chama cha wanachama wote ila katika hali isiyoy ya kawaida Mbowe Kama mwenyekiti wa taifa akuunganisha chama kwenye ndoa ambayo kaamua mwenyewe bila vikao halali vya chama

Cuf kabla ya kuubariki UKAWA walifanya kikao cha baraza kuu wakatoa tamko la chama taifa

Chadema wapi kikao kilikaa kikaridhia kuunganisha cuf na chadema wakati inaeleweka wazi kua cuf na Ccm ni nyumba moja familia

Mbowe umeamua kuiua chadema kwa ajili ya taamaa za fedha ??

Mbona juzi kati kamati kuu ilikuwa inakaa kila siku wakati mkimwazimia zitto mlipo fanikiwa vikao navyo vimekoma kabisa

Mbowe tuitie baraza kuu tuje kujadili ualali wa ukawa na maendeleo ya chama laasivyo tutaita wenyewe

Wenye kuchangia karibuni Sana wenye kubeza pia karibuni
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,222
2,000
naungamkono muungano wa vyama vya kisiasa ili kuondoa dudu ccm...cha msingi kuungane kwa dhamira moja
 
Chikaka Sumuni

JF-Expert Member
May 16, 2013
1,337
0
Je unayo Katiba ya CHADEMA? unajua wajibu na majukumu ya Kamati Kuu? Acha propoganda wee huna akili kuwazidi hao viongozi wa Kitaifa. Wewe ni CCM subiria sindano iingie taratibu
 
Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,222
2,000
Je unayo Katiba ya CHADEMA? unajua wajibu na majukumu ya Kamati Kuu? Acha propoganda wee huna akili kuwazidi hao viongozi wa Kitaifa. Wewe ni CCM subiria sindano iingie taratibu

ccm wapumbavu sana, Muungano hawaupendi sasa kama muungano ni mbaya basi tuvuje na wa tanganyika na zanzibar na wa tanu na asp wauvunje..
 
The Name

JF-Expert Member
Jan 30, 2014
812
225
Naunga mkono muungano asilimia zote,mana nawaami viongozi wangu wakuu,mbowe,Dr.slaa na wengine!sio lazima tukae wote huo utakua ni upuuzi!
 
bujash

JF-Expert Member
Aug 9, 2013
3,468
0
Wadau chadema ni chama cha wanachama wote ila katika hali isiyoy ya kawaida Mbowe Kama mwenyekiti wa taifa akuunganisha chama kwenye ndoa ambayo kaamua mwenyewe bila vikao halali vya chama

Cuf kabla ya kuubariki UKAWA walifanya kikao cha baraza kuu wakatoa tamko la chama taifa

Chadema wapi kikao kilikaa kikaridhia kuunganisha cuf na chadema wakati inaeleweka wazi kua cuf na Ccm ni nyumba moja familia

Mbowe umeamua kuiua chadema kwa ajili ya taamaa za fedha ??

Mbona juzi kati kamati kuu ilikuwa inakaa kila siku wakati mkimwazimia zitto mlipo fanikiwa vikao navyo vimekoma kabisa

Mbowe tuitie baraza kuu tuje kujadili ualali wa ukawa na maendeleo ya chama laasivyo tutaita wenyewe

Wenye kuchangia karibuni Sana wenye kubeza pia karibuni

wewe kama nani CDM? Kachukue buk zako 7 kwa mabwana zako Lumumba
 
The Name

JF-Expert Member
Jan 30, 2014
812
225
Wee nyari ni gamba gumu wala hutupi shida,hii ndo chadema mwaka huu mtaongea sana!subirini mabibi.
 
USTAADHI

JF-Expert Member
May 10, 2011
1,516
1,195
ili nikuone una akili hebu leta muhtasari uliokuwepo wewe kama mjumbe kati ya CCM na TLP au CCM na intarahamwe kwanz
 
The Name

JF-Expert Member
Jan 30, 2014
812
225
Huyu mjinga katufanya tunaacha mambo ya msingi tunajadili upuuzi wake,wee unataka kuolewa ila umekosa bwana.
 
Frank Kubwera

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
242
170
Njinga kweli wewe.

ieleweke UKAWA ni umoja wa katiba ya wanachi

si umoja wa vyama vya Siasa.

kwenye ukawa wapo hata baadhi ya wajumbe 201 wa CA
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom