CHADEMA siyo Mali yako Mbowe nani kakupa mamlaka ya kuunganisha ndoa

Kama kweli wewe unasimamia ulichokiandika tuambie wewe ni mjumbe wa baraza kuu la Chadema kutoka wilaya gani/ jimbo gani? au wewe ni katibu wa mkoa gani kutoka chadema, maana ni muhimu tutambuane sio kuongelea nyuma ya keyboard halafu unajidai umekerwa na Ukawa kwa maslahi ya maccm Maintarahamwe, weka ushahidi wa hizo fedha unazosema Mbowe anatamaa nazo, alipewa ama anapewa na nani? Walipeana wapi? Kwa madhumuni gani?
Hakika wewe ni maintarahamwe ambao mnaendekeza njaa, ndo mko mnatekeleza project ya propaganda dhidi ya katiba mpya isipatikane, maana mnapoipiga vita ukawa kwa hofu ya umoja huu kuimarika, mnapata mashaka na nafasi zenu zinazoweza saa kufanya ufisadi, tena mnatumia fedha za walipa kodi kupingana na ukawa inayopigania maslahi ya Watanzania,
Hopless Moving Figure maintarahamwe wote

Mkuu hawa vijana wa book 7 ukawa umewachanganya akili mazima! Ndo maana matamko ya kisanii hayaishi humu ndani,na bado hadi wataomba poo.
 
Chadema hakuna haki ya kuhoji hayo kumbuka cdm walitembea nchinzima wakidai cuf ni ccm B leo ndege 1 kwahiyo uccm B wa cuf umeisha? Pili cdm waliwaikusema Bungeni cuf mashoga leo kambi.1 unajifunzanini?
 
Chadema ifute kauli hizimbili-1 cuf sio mashoga-2 cuf- sio ccm b iliwananchi tuelewehapa au naowameolewa kwahiyo wapo Matala na cuf mume ccm?
 
Wadau chadema ni chama cha wanachama wote ila katika hali isiyoy ya kawaida Mbowe Kama mwenyekiti wa taifa akuunganisha chama kwenye ndoa ambayo kaamua mwenyewe bila vikao halali vya chama

Cuf kabla ya kuubariki UKAWA walifanya kikao cha baraza kuu wakatoa tamko la chama taifa

Chadema wapi kikao kilikaa kikaridhia kuunganisha cuf na chadema wakati inaeleweka wazi kua cuf na Ccm ni nyumba moja familia

Mbowe umeamua kuiua chadema kwa ajili ya taamaa za fedha ??

Mbona juzi kati kamati kuu ilikuwa inakaa kila siku wakati mkimwazimia zitto mlipo fanikiwa vikao navyo vimekoma kabisa

Mbowe tuitie baraza kuu tuje kujadili ualali wa ukawa na maendeleo ya chama laasivyo tutaita wenyewe

Wenye kuchangia karibuni Sana wenye kubeza pia karibuni[/
QUOTE]
usianze kwa kujishtukia hapo kwenye red wewe ukiwa kama nani mpaka uweze kusemea wana cdm wote........
 
Back
Top Bottom