Hivi wanachokisimamia kwa sasa ni kusubiria matukio ya majanga kusafafisha wahujumu uchumi na mafisadi ndo gia ilivobadilishwa angani toka jeshi la ukombozi wanyogeWakuu nmeamua kufunguka kwa hawa ndugu zetu CHADEMA kufuatia kukithiri siasa za matukio na kubadili gia angani. Yafuatayo ni baadhi ya matukio ambao aidha walibadili gia angani au yalipotea bila utekelezaji:
1. UFISADI; Mkiwa mwembeyanga mlituaminisha Lowassa ni fisadi, mlisimamia hilo kwa takribani miaka saba lakini ndani ya masaa mkataka kutuaminisha sio fisadi
2. ILANI YA UCHAGUZI; mlituaminisha kuwa Magufuli anatekeleza ilani ya CHADEMA lakini hata mwaka mnasema ni dikteta. Nawasubiri mtengue kauli kwamba JPM hakuiga sera zenu
3. MSIBA WA ARUSHA. Mnatuaminisha kwamba RC wa Arusha amekula rambirambi lakini akihamia CHADEMA mtasema hajala rambirambi ila amekula pilau.
MY TAKE: Kuweni makini na watu wasiokuwa na hoja wala misimamo thabiti....Amini amini nawaambia Makonda akihojiwa Star TV ndo unakua mwisho wa stori za Mrisho gambo na upepo utabadilika itakua ni Makonda na Star TV.
Tujifunze kuweka akiba ya maneno
Unajitoa fahamu mkuu.Vichwa vya watu vingekuwa kama computer ningekununulia RAM hata GB4 ili thinking capacity yako iongezeke kidogo
Nigeria nayo watu wachache walikuwa na mawazo kama ya kwako
Hahahaaaaa,naona mmepanic!Hili ni povu la jazba baada ya kuelemewa na kuona hatari ya kupigwa chini mbeleni!Hamuwezi kushinda Uchaguzi TanZania hata iweje, hata kama ikitokea Miujiza labda Watanzania siku moja wakawaamini na kuwapigia kura nyingi lkn bado hamtaweza kuiondoa CCM kwa maana mfumo wa Tanzania hauko tayari kwa hilo, na huwo ndiyo ukweli anzieni hapo kwanza, mengine yote ni kupoteza muda tu, ...
Nyinyi maccm ndio hovyo kabisa utafikiri mmerogwa bwanaUnajitoa fahamu mkuu.
Jaribu kuchunguza kauli na matendo ya viongozi wenu. vinatia mashaka makubwa.
Seems mmekosa upeo na mwelekeo
Elezea huko kuwa hovyoNyinyi maccm ndio hovyo kabisa utafikiri mmerogwa bwana
Wezi wa rambirambi za marehemu nyinyi....wawauwe wao israelLaana itawaandama sana nyie kwa kuwaua hao watoto ili mpate kiki za kisiasa...Kama kawa Mungu halembi lazima mchezee kichapo
Siwez kufurahia vifo vya wale watoto, ila haya ya kibiti Naomba waongeze kasi. Baada ya mjumbe mmoja kwa wiki wapige watatu kwa siku.Chadema wlifurahi sana kufa wale watoto kule arusha....kila siku ni kiki za hao watoto...Chadema ni janga la Taifa
Kwa niaba ya chama changu nawaombeni radhi wafiwa na ndugu na jamaa,kuna watu humu jukwaani lengo lao ni kuamsha maumivu ya msiba.ndugu zangu chadema sisi ni watani wa jadi.Hivi una akili timamu kweli wewe?? Mbona mnapotoshwa na mambo ya siasa??? Muwe na mipaka? Mtu anawezaje kufurahia watoto wa wenzake kufa?? Labda ni wewe tu na ccm wenzio mnaokula rambirambi zao.
Siwez kufurahia vifo vya wale watoto, ila haya ya kibiti Naomba waongeze kasi. Baada ya mjumbe mmoja kwa wiki wapige watatu kwa siku.