Jiandae kukombolewaKwa hiyo???????????
Taratibu Mkuu...chunga hasira mbaya.Munkari nilikujanayo dah! Mpaka nimejionea haya mwenyewe. Mkuu thanks for this very useful post
Taratibu Mkuu...chunga hasira mbaya.
Bali ni baba yangu.
Najua akina Nape, ritz, Zomba na the likes ambao wapambanaji mtanisaidia kuwataja, wamekimbilia post hii wakijua labda Dr. Slaa karudisha kadi na kujiunga na magamba.
Eee bwana ni mimi Saganka, nasema CHADEMA si mama yangu bali ni baba yangu maana wababa ndo wapiganaji wakuu wa haki katika jamii kama yetu,ndo maana mikutano ya cdm 80% au zaidi ni vidume.
Baada ya kusoma post hii, magamba hao wameingia mitini.
Namaanisha biological father,na si baba ambae nimeonyeshwa na mama,mama anaweza akanionyesha kwamba huyu ndie baba yako lakini kama sie basi anajidanganya tu.Baba haiji kwa kuonyeshwa bali kwa michakato ya kibailojia.Upo hapo Mark 11Una akili sana! MAANA BABAAKO HUNA AHAKIKA NAYE KWANI UNAAMBIWA TU NA MAMAAKO, ANAWEZA KUKWAMBIA YEYOTE ATAKAYE YEYE, LAKINI MAMA NI NGUMU SANA KUMCHAKACHUA MAMA, LABDA ITOKEE MADAKTARI WACHEZE HOSPITALI , LAKINI BABA.....KWANZA MIE NDO BABAAKO, KAMA MAMAAKO HAJAKWAMBIA ANAONA AIBU TU