CHADEMA si Legelege-Dr Slaa


Ukitaka kujua misamiati, ingia JF!
Hili neno mbulumundu nimelipenda sana!
Mtu yupo JF, anajiita GT ila hajui tofauti kati ya mikutano ya kampeni za uchaguzi na mikutano ya kawaida!
 
Cdm nouma sanaaa.... Magamba mkajinyonge 2015 ndo mwisho wenu
 
asante kwa updates
 
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kamwe chama hicho hakitakubali kuwa legelege katika kusimamia misingi yake, ikiwemo katiba inayowaunganisha wanachama wote.
Source:Tanzania Daima Alhamisi
Dr. Slaa alisema "kwa hivi sasa Chadema haitafanya uchaguzi kwa vile chama siyo imara"
 
Nimezungumza n jamaa zangunwengi tu wa kahama mbao tunashirikiana nao kwenye masuala ya kazi na hasa za madini,wanasema kwa sasa chadema haina nguvu tena na jna hali ilikuwa tete kwa slaa na alizomewa!!!

Wewe kweli mwehu, endelea kuzungumza na wafanya biashara ya madini waliopo lumumba masaa 24
 
ukitaka kujua misamiati, ingia jf!
Hili neno mbulumundu nimelipenda sana!
Mtu yupo jf, anajiita gt ila hajui tofauti kati ya mikutano ya kampeni za uchaguzi na mikutano ya kawaida!

huna hoja... Piga kimya
 
Nimezungumza n jamaa zangunwengi tu wa kahama mbao tunashirikiana nao kwenye masuala ya kazi na hasa za madini,wanasema kwa sasa chadema haina nguvu tena na jna hali ilikuwa tete kwa slaa na alizomewa!!!

Safari hii uongo wenu umekwama kwa mimi kuwepo eneo la tukio home kahama nasubiri tu mmalize ujinga wenu wa propaganda za kitoto then nimwage picha muumbuke.
 
We mama umevurugwa si bure
Aibu yao aibu yetu?
Obviously ya kwenyu magambaz energy mnayotumia kuharibu na results mnazopata it's heartbreaking for u guys
Poleeeee
Aluta continua.....
Hivi unaitwa Elizabeth Dominic Mallya au Lyimo?
 
Jombaa, achana na propaganda za magazeti magazeti ya CCM, tembelea blog ya MICHUZI leo, uone nyomi iliyojitokeza Kahama......

Makubwa hata michuzi leo anapata sapoti ya makamanda?
 
hukumsikia vizuri.. Inaonekana maskio yako yana matege
Siyo kusimkia alisema yeye mwenyewe humu jamvini kuwa Chadema hivi sasa siyo imara hivyo hakiwezi kufanya uchaguzi.

 

Ukitaka kujua misamiati, ingia JF!
Hili neno mbulumundu nimelipenda sana!
Mtu yupo JF, anajiita GT ila hajui tofauti kati ya mikutano ya kampeni za uchaguzi na mikutano ya kawaida!
 
Watanzania hasa vijana mnaochipukia katika siasa jipeni kazi kidogo tu ya kusoma/kujifunza siasa na jiografia ya siasa nchini,

Sheria ya "uchaguzi" inasema vyama vya siasa vitaendesha mikutano yao ya "kampeni" kuanzia saa mbili asubihi mpaka saa kumi na mbili kamili jioni,

Zingatia kuwa sheria hiyo inahusu taratibu za kampeni tu, na sio ziara za kawaida za vyama vya siasa.

Huko songea na mbeya mikutano ya kinana inafika mpaka saa mbili kasoro, anajua kwamba hakuna sheria inayomzuia kufanya hivyo,


Vijana wa kitanzania na wanahabari acheni kuihamishia njaa vichwani mwenu mtaliangamiza taifa hivihivi.
 
chadema hata kama watajipangusa vipi wamekamatika kila watakalo fanya madamu walijichanganya basi tena wanaonekana wakuja tu mzimu wa zitto hautawacha salama hata kidogo shetani yumo kwa kila mmoja wao.
 

Kama hiyo picha sio ya jana, Tuwekeeni hiyo mliyonayo! Huyo TUNTEMEKE mwenyewe aliyeleta huu ----- mbona hana picha yoyote! Acheni u.jinga!!!
 
Last edited by a moderator:
Vyombo (vyanzo) vya habari ni vingi. Inategemea unavyo-chekecha kupata ukweli/uhalisia maana huwezi tu kusiki/kusoma na kuamini.

Jana hapa jamvini alikuja Taswira na kuandika mengi (bila picha wala ushahidi wowote). Tz Daima wameweka picha na ushahidi wa mazingira na maneno.....chagua unaamini nini. Taswira & magazeti yao au Tz Daima na mashuhuda waliokuwa kwenye mkutano.
 
Kama hiyo picha sio ya jana, Tuwekeeni hiyo mliyonayo! Huyo TUNTEMEKE mwenyewe aliyeleta huu ----- mbona hana picha yoyote! Acheni u.jinga!!!

mkuu usihangaike na hao vijana, hilo kundi lipo Tabata masaa 24, wanaanzisha mada kwakujifanya wapo kahama kumbe wapo Tabata wanaishi kwa nguvu ya MM
 
Last edited by a moderator:

picha ya tanzania daima siyo ya kweli bali ni yakugushi sijui wanamdanganya nani.
 

Mkuu unajua hata mie naanza kuchukia kuhusu yanayofanywa na chama changu. Juzi hapa nimetoa ushauri kwa Tumaini Makene juu ya kugharamia waandishi wa habari wa television na magazeti huru na rafiki ili kuhabarisha umma juu ya ziara hii maana itakumbana na propaganda mbaya lakini naona hilo limedharauliwa. NIMECHUKIA SANA.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…