CHADEMA si CHADEMA tena

CHADEMA si CHADEMA tena

SONGOKA

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2012
Posts
1,836
Reaction score
1,845
Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya Tundu Lissu na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya Tundu Lissu bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya tundu lisu na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.
 
Ufipa hari si swari kabisaa, na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayiotwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
hii ni chadema ya tundulisu na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya tundulisu bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria. Chadema hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii chadema, akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
hii ni chadema ya LOWASA , wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama.CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhararishwa na ni Lowasa. Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa chadema ndugu lowasa kuwa atashinda.Hii chadema vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya tundu lisu na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.

Namna ulivyoandika hizo hoja zako zinaonyesha ni kwa kiasi gani unakifia Chadema,maana huna cha kufanya zaidi ya kubwabwaja kama mwanaume aliyomkosa binti anayemzimia basi huja na hoja za kitoto ili kumlazimisha
 
Mchana Ccm Usiku Chadema 😀😛
By Jpm
 
Tuisambaze hii kwenye magroup ya whatsapo na facebook ili watanzania wengi wapate kujua
 
kwa mzamo wangu ccm ni dhaifu zaidi kuliko chadema. ccm kwa sasa inabebwa na polisi chini ya kina siro...
 
Tuisambaze hii kwenye magroup ya whatsapo na facebook ili watanzania wengi wapate kujua

Kwamba ndege ineshindikana kulipia pia kwa kukusaidia ccm hata wafanyaje kuifuta chadema ni ngumu sna ndo chama chenye nguvu ccm cha pili muuluze magufuli kwa nini anahangaika anayajua matokeo halisi ya nani alishinda.
 
Ufipa hali si swari kabisaa na mpaka sasa sisi wanachama kindakindaki wa CHADEMA hatujui tushike lipi.

Ni hivi, kwa hali ya sasa hakuna taasisi tena inayoitwa CHADEMA bali ni jina tu la chama lililopo kwa msajili na vikundi kadhaa vilivyogawanyika chini ya hilo jina. Mgawanyiko huu unatufanya tubaki macho wazi au macho juu.

CHADEMA TLS
Hii ni CHADEMA ya Tundu Lissu na team yake, CHADEMA hii yenyewe imeamua kujiendesha kwa matukio yaliyojificha nyuma ya maslahi binafsi ya Tundu Lissu bila kujali kama maslahi hayo yanaigharimu au kuiharibia nchi tunayoishi. CHADEMA hii ni ngumu kuitenganisha na Chama cha wanasheria, kila tukio linalohusu sheria litageuzwa kuwa la kisiasa na kila la kisiasa litageuzwa kuwa sheria.

CHADEMA hii iko tayari kushirikiana na mafisadi ili mradi tu waendelee kujipatia umaarufu na kumpinga Mh Rais. Wazee wengi ndani ya chama wamejitenga na hii CHADEMA akiwemo mweyekiti

CHADEMA URAIS
Hii ni CHADEMA ya Lowassa, wao wameshajitangazia na kujimilikisha nafasi ya ugombea mwaka 2020 bila kuzingatia kanuni wala mchakato halali wa chama. CHADEMA hii iko busy kila siku kuhakikisha wanawaaminisha wanachama eti tayari mgombea wa urais 2020 ameshapatikana na kuhalalishwa na ni Lowassa.

Utawaona wakijitokeza mara kadhaa katika matukio fulani fulani na kutoa matamko yanayohusu uchaguzi 2020 huku wakitaja mgombea wa CHADEMA, ndugu Lowassa kuwa atashinda.Hii CHADEMA vijana makini hawaipendi kabisaa, na hata baadhi ya wazee wameanza kujiepusha nayo

CHADEMA MKAKATI
hii ni chadema inayopenda maendeleo ya nchi na wamekuwa wakiunga mkono juhudi za kimaendeleo za mh Rais lakini kwa usiri mkubwa. Chadema hii wao wanaridhishwa na juhudi ya kupinga ufisadi, ukusanyaji kodi na mambo mengine ya msingi yanayoendelea.Hawa hukutana kwa usiri na kupanga mikakati yao inayolenga kuhama chama na kuwahamasisha madiwani na viongozi wa chini kukihama chama.Chadema hii pia hupata ufadhiri kutoka chama tawala.

CHADEMA KASKAZINI

hii chadema kwa sasa imekoa umaarufu kutokana na matukio ya tundu lisu na wanafanya mikakati ya kumdhibiti.Hii ndo chadema ya mwenyekiti na Lema. umaarufu wao umepungua sana na hata wanachama hawawasikilizi tena. Wana mpango mkakati mkali wa kuhakikisha wanarudi katika mainstream na cha kwanza wanachotaka kufanya ni kumthibiti lisu.Chadema hii haina nguvu kabisaa hasa baada ya ile muvi ya can you fly to KIA

CHADEMA asilia

Hii ni chadema ya kina mnyika, hawa wameamua kukaa kando na kujionea yanayoendela.Hawataki kabisaa kujishughulisha na haya yanayoendelea , walichobaki nacho ni jina la uanachama na ubunge baasi.Hata vikao vya ndani hawaji tena, wakialikwa wanasingizia ugonjwa. Ni kama wamesusa hivi

kwa mgawanyiko huu sisi tuliokuwa wanachama fuata viongozi mpaka sasa tuko mdomo wazi, kama kuna muda CCM mnataka kuvuna wnachama wa CHADEMA , njooni sasa, kwasababu hili kundi la tusiojua wapi tushike tumeshachoka.
Makinikia mmebakia kulipua maofisi ya wapinzani
 
Back
Top Bottom