Chadema should not apologize!

Freedom of speak! Mwanakijiji anahaki yake ya kimsingi kusema aliyonayo moyoni sidhani kama anahaki ya kukosolewa kwa aliyoyasema toka moyoni mwake!
 
I see it worth a separate heading, this is more of Mwanakijiji and CCM. As you can see many of us including you have responded.
 
Wewe ni mtumwa wa MBOWE, tena nina wasiwasi wewe ni MANGI....... samahani '' when truth is ditched as you are doing, frakly overcomes me'' nilishawahi kuandika humu kuwa makosa ya kimsingi yaliyofanywa na yanayoendelea kufanywa na CCM, ndio yanayofanywa na CDM leo hii. uongozi wa kiimla, udictator, maamuzi yanayofikiwa bila kufikiria athari, ukabila ndani ya uongozi wa chama, urafiki, umalaya,ufisadi na tamaa iliyopitiliza. Hayo yote yamo CCM na CDM na ndio yanayoimaliza CCM na ndio yatakayokifanya CDM isiwe chama chenye future yoyote.
tofauti ya CCM na CDM, ni kwamba... CCM ni chama kikongwe na kuna makada wengi saaaana wenye uwezo wa kuongoza na kukikomboa chama na kuendelea kuwa mhimili wa uongozi kwa miaka mingi ijayo,,, hilo CDM hawana na nafasi ya kuwa hivyo wameipoteza.
KWAKO WEWE MTUMWA WA WANASIASA...... huu sio muda wa kuweka akili pembeni na kusikiliza kila kitu kinachotoka mdomoni mwa wanasiasa husan kutoka katika chama unachokishabikia. tumia akili kwani wenzako walioelimika wanakuona kituko. big up to MWANAKIJIJI. haijalishi alikuwa anakiunga mkono chama gani lakini ukweli ukijidhihirisha huwa anasimama nao.that's how a man..A TRUE MAN SHOULD BE
 
asiejua maana haambiwi maana nimekumbuka wimbo flani hiviiiiiiiii"usimchezee chatu,oooh chatu eeeeeeeeeeeh,gongo usimtupie..........."
 
I can see this "mzee" anasoma mawazo yenu tu hapa na kugonga thanks!
Personally,though i have never seen this man,or even sure if the name "mwanakijiji" is his real name,.....i like him and HE IS MY MENTAL, each time i read his articles i get something new,....if you are not careful,..there are points which are always hidden in his articles and you will miss them.

Keep it up "mzee mwanakijiji"....."mimi mwanakijiji" mmmmmmh these names bana,but you are a great thinker and i've got what you meant!

Why are all these happening within a two months???

ngoja niende darasani kwanza mimi
 

He has done nothing wrong....If you read his post between the lines, there is a person who has emotionally been devastated by what has been happening lately.
If you are a Chadema member/leader, you rather need to counsel than accuse him. That's what politically mature people do.

I hv said elsewhere and am saying it here again....Chadema owe no one any apology and on the same vein, MMJ owes no one any apology.
 

You are right!!! badala ya kuunga mkono tuwape pressure hawa jamaa issue za katiba na NEC vipate kasi..

Lini tutaelewa maana ya uandishi wa kebehi- satire? Turejee wasifu huu wa Mwanakijiji kwenye Twitter:

"An author, columnist, political satirist and wandering philosopher of the third kind!" - mimi mwanakijiji (mwanakijiji) on Twitter

watanzania wanajua kila kitu bwana!! kila kitu! hapa wamewekwa mbali kabisa na hali halisi, uandishi mgumu, kusoma na kuelewa ni kugumu pia!
 

nimefungua makala yako nikidhani kuwa utajaribu kujibu hoja lakini sijaona ulichoandika zaidi ya kutukana...Mwanakijiji ameweka hoja mbalimbali sasa baada ya wewe kujibu umeenda kuropoka matusi. Kama huna uwezo wa kujibu hoja ni bora ungekaa kimya kuliko kuonesha jinsi uslivyo na uelewa mdogo ndani ya JF
Pole sana....u are disappointing everyone with your furious words.
 

Duh Kidhungu kinatugonga! Hadi aibu ukisoma wabongo wanapochangia kwa kimombo, too many misplaced words!
 
Mimi ni mtanzania wa kawaida... naamini CCM waliiba kura, na kitendo cha chadema kuamua kujifungia chumbani na kuamua "kama vile hawajaibiwa kura" na kuja wakidhani watanzania ni mabwege sikiungi mkono... ni myopia ya kisiasa

waombe msamaha kama walituhumu au waseme walipotoshwa na wamtaje aliyewapotosha kusema CCM wameiba kura, wanilaumu hata mimi tu waseme ACID alitudanganya tukaamini wameiba kura na tumegundua sio... BLAME ACID NOT CHADEMA, KAMA HAMTAKI CHADEMA IKOSOLEWE

Mwanakijiji hana haja ya kuomba radhi wala ardhi
 
Out of all this nilichofahamu Mimi ni kuwa Chadema inajua kuwa haikushinda nafasi ya rais (hakuna sehemu hata moja ilowahi kusema hivyo) na imeamua kumtambua rais kwa sababu hawana sababu za kutomtambua.

Kura ziliibiwa ndio lakini Chadema inaonekana haina vithibitisho ya ziliibiwa kura ngapi na nani ni mshindi halali Kama si Kikwete
 

Hapo MMM and Wewe ndio mnapojichanganya, CDM haijamtambua kikwete soma Tanzania Daima ya leo December 14, 2010. Dr. Slaa amesisitiza, kwamba CDM haijamtambua rais.
 
ticha

tuna safari ndefu sana nchi hii

MMM hana haja ya kuomba radhi wala ardhi
 
Ingawa sikubaliani na lugha iliyotumiwa na mwanzishaji wa mada hii, with due respect, Mwanakijiji alikurupuka kuanzisha mada ya jana kwa kurely yaliyoandikwa magazetini kabla CDM awajatoa taarifa yao rasmi. Kwa aliyemsikiliza Dr. Slaa vyema jana ataelewa kwamba msimamo wa CDM bado ni uleule. Siku zote CDM wametwambia kwamba sio kwamba hawamtambui Rais, isipokuwa hawakubaliani na mfumo wa upatikanaji wake na kwamba kitendo chao cha kuwalk out ni kuonyesha protest dhidi ya mfumo huo. Hayo hayo ndiyo yaliyorudiwa na Dr. jana. Kwa mantiki hiyo sijaona walikojikanganya CDM isipokuwa mada ya jana ya mwanakijiji ndiyo iliyojikanganya.
 
QUOTE=Speaker;I "mzee mwanakijiji" IS MY MENTAL




What the heck is this?!? Did you happen to mean MENTOR?

Ha ha ha ha mbavu zangu mie, Lawama tunamtupia mjamaa wetu Nyerere rest in peace babu yangu. Kilema cha umombo kinatusumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…